Hivi kweli?Unamzuia mwenzio kuandika maelezo marefu halafu na wewe unatujazia maelezo marefu!

Mnahangaika sana hakuna mada nyingine? Andikeni hata kuhusu Fly oversMACHALE YA JESHI LA POLISI, GODBLESS LEMA, CHADEMA NA MIPANGO HARAMU ILIYOFELI:
#Nanukuu : "Sina amani kwa tabia nzuri waliyoonyesha Jeshi la Polisi jana wkt wa mapokezi ya Mh Tundu Lissu.Nina paswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wengi, ninaona ni kama chloroquine imepakwa sukari,kuna kitu kinafikiriwa na sisi tunapaswa kufikiri zaidi - Godbless Lema.
MYTAKE :
Ukisikiliza Maelezo ya Hovyo toka kwa Lema na Kwa akili za Ufipa Street utaona kabisa walitamani Wadundwe, Watawanywe kuliko kuachwa...Hawa Walijiandaa na Walishajua kuwa Askari Watafika na kuwatawanya kama ambavyo Barua ya Polisi ilivyoainisha!..So kutofanyika kwa jambo hilo kumeharibu kabisa Mipango wa Maharamia hao,...Hii haiihitaji Betting, kifupi Mpango ulikuwa hivi:
Polisi Wangeingia Kati na kutawanya Mkusanyiko wa Chadema pale Airport basi kama kawaida Chademaa ingetumia Special Unit ya vijana wake maalumu ambao wangejichanganya katikati ya Mkusanyiko wa Nyumbu na kufyatua risasi zinazoweza kudhuru raia na kuzua GUMZO la violence na Msala kuangukia kwa jeshi la Polisi..."Hii inaitwa "Nyumbu kudhuru Nyumbu"..Special unit hii ya vijana hawa inasemekana ndiyo miaka ya Nyuma ilitumika kupiga mpaka Mabomu ya Moto katikati ya Mikusanyiko ya Chadema pale Arusha ikiwajibu polisi waliorusha "Mabomu ya Machozi"...Raia Wakafa! Jumba Bovu kwa Polisi.
Siasa za Kilofa Hasa!... Dola nyingi Afrika kwa kutokushtuka Mapema zimenasa katika mtego huu, polisi wengi wamenasa ktk Mtego huu na kujikuta too late ktk kujinasua...na inasemekana vikundi hivi Maalumu hupokea Mafunzo na Posho kwa ajili tu ya kuleta taharuki ndani ya Mikusanyiko mbali mabali haramu, Vikundi hivyo vipo tauari hata kama ni kwa kumwaga damu ya waandamanaji na finally Nchi husika kuingia katika Machafuko kama Tunisia.
Nikumbushe tu kwamba Tarehe 19 september 2018 Taifa likiwa ktk uchaguzi Mdogo Jeshi Polisi lilimkamata Wakala wa Chadema ndani ya Chumba cha Kura akiwa na Barua Feki, Furushi la Nyuki na Bastola yenye Risasi 15 .
Probably Malengo ya Wakala yule yalikuwa kuanzisha Vurugu eneo la uchaguzi na kwenye Mkusanyiko wa watu kisha amwage Nyuki, Watu wakiwa wanakimbia hovyo hovyo na Askari kujitokeza kutuliza Ghasia ndipo Wakala huyo angetumia Bastola hiyo kutandika Risasi Raia mmoja halafu Kesi inakuwa ya Polisi, Lawama kwa Serikali, reporters ni DW, BBC na VOA....Yale Yale ya Kinondoni kwa Akwilina na Mabomu ya Arusha....Hawa ni watu wa Matukio na nina Hakika Kauli ya Lema inapaswa kufikiriwa zaidi na kufanyiwa kazi zaidi, ni kauli iliyotangulizwa tu huku Matukio yakiandaliwa!.
Hata pweza angeshindwa cha kushikaHata sijaelewa!
Umeandika vitu mia kwa wakati mmoja!
Mara lile, mara hili, mara nyuki..... tushike lipi jombaa?
MACHALE YA JESHI LA POLISI, GODBLESS LEMA, CHADEMA NA MIPANGO HARAMU ILIYOFELI:

Mimi nafikiri askari wetu kuacha maandamano yale yaendelee na huku wakiwasindikiza, ilikuwa namna ya kumwenzi Hayati BWM kwa yale aliyokiri katika kitabu chake kuwa mauaji yaliyotokea Pemba wakati wa uchaguzi, hayakumfurahisha. Isingekuwa vema wakati tukiomboleza msiba wa rais wetu mpendwa kukatokea bahati mbaya kama ya Pemba au Kinondoni (Akwilina). Kwa hiyo ni faraja sana kwa Hayati BWM kuwa ameenziwa kwa toba aliyotoa kwenye kitabu chake na ni vizuri uhuru huu uendelezwe kwani tuliwaona askari wetu wakiusindikiza msafara kwa amani na hakuna uvunjifu wa sheria wowote uliotokea.MACHALE YA JESHI LA POLISI, GODBLESS LEMA, CHADEMA NA MIPANGO HARAMU ILIYOFELI:
#Nanukuu : "Sina amani kwa tabia nzuri waliyoonyesha Jeshi la Polisi jana wkt wa mapokezi ya Mh Tundu Lissu.Nina paswa kujiuliza maswali mengi na majibu yawe tofauti na fikra za watu wengi, ninaona ni kama chloroquine imepakwa sukari,kuna kitu kinafikiriwa na sisi tunapaswa kufikiri zaidi - Godbless Lema.
MYTAKE :
Ukisikiliza Maelezo ya Hovyo toka kwa Lema na Kwa akili za Ufipa Street utaona kabisa walitamani Wadundwe, Watawanywe kuliko kuachwa...Hawa Walijiandaa na Walishajua kuwa Askari Watafika na kuwatawanya kama ambavyo Barua ya Polisi ilivyoainisha!..So kutofanyika kwa jambo hilo kumeharibu kabisa Mipango wa Maharamia hao,...Hii haiihitaji Betting, kifupi Mpango ulikuwa hivi:
Polisi Wangeingia Kati na kutawanya Mkusanyiko wa Chadema pale Airport basi kama kawaida Chademaa ingetumia Special Unit ya vijana wake maalumu ambao wangejichanganya katikati ya Mkusanyiko wa Nyumbu na kufyatua risasi zinazoweza kudhuru raia na kuzua GUMZO la violence na Msala kuangukia kwa jeshi la Polisi..."Hii inaitwa "Nyumbu kudhuru Nyumbu"..Special unit hii ya vijana hawa inasemekana ndiyo miaka ya Nyuma ilitumika kupiga mpaka Mabomu ya Moto katikati ya Mikusanyiko ya Chadema pale Arusha ikiwajibu polisi waliorusha "Mabomu ya Machozi"...Raia Wakafa! Jumba Bovu kwa Polisi.
Siasa za Kilofa Hasa!... Dola nyingi Afrika kwa kutokushtuka Mapema zimenasa katika mtego huu, polisi wengi wamenasa ktk Mtego huu na kujikuta too late ktk kujinasua...na inasemekana vikundi hivi Maalumu hupokea Mafunzo na Posho kwa ajili tu ya kuleta taharuki ndani ya Mikusanyiko mbali mabali haramu, Vikundi hivyo vipo tauari hata kama ni kwa kumwaga damu ya waandamanaji na finally Nchi husika kuingia katika Machafuko kama Tunisia.
Nikumbushe tu kwamba Tarehe 19 september 2018 Taifa likiwa ktk uchaguzi Mdogo Jeshi Polisi lilimkamata Wakala wa Chadema ndani ya Chumba cha Kura akiwa na Barua Feki, Furushi la Nyuki na Bastola yenye Risasi 15 .
Probably Malengo ya Wakala yule yalikuwa kuanzisha Vurugu eneo la uchaguzi na kwenye Mkusanyiko wa watu kisha amwage Nyuki, Watu wakiwa wanakimbia hovyo hovyo na Askari kujitokeza kutuliza Ghasia ndipo Wakala huyo angetumia Bastola hiyo kutandika Risasi Raia mmoja halafu Kesi inakuwa ya Polisi, Lawama kwa Serikali, reporters ni DW, BBC na VOA....Yale Yale ya Kinondoni kwa Akwilina na Mabomu ya Arusha....Hawa ni watu wa Matukio na nina Hakika Kauli ya Lema inapaswa kufikiriwa zaidi na kufanyiwa kazi zaidi, ni kauli iliyotangulizwa tu huku Matukio yakiandaliwa!.
Kumbe dawa yao imepatikana nayo ni hii: KUWAPUUZA M4C!MACHALE YA JESHI LA POLISI, GODBLESS LEMA, CHADEMA NA MIPANGO HARAMU ILIYOFELI:

Wewe unaamini agizo la kuwaacha CHADEMA wampokee Lissu bila kusumbuliwa lilitoka kwa RC?-RC mpya Dar amekuja na siasa za kistaarabu
Wewe unaamini agizo la kuwaacha CHADEMA wampokee Lissu bila kusumbuliwa lilitoka kwa RC?
Kweli hivi unaweza kuamini ana nguvu hizo bila amri kutoka juu?
TAFAKARI ....
Kwa miaka iliyopita ule umati inawezekana kabisa kuutawanya na wenye majukumu na dhamana wasijali madhara yatakayotokea...askari waliokuwa on the ground waliona umati ule ni mkubwa mno, na kuutawanya kungeleta madhara makubwa.