Uncle Elroy
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 1,206
- 1,152
Mmebana pua mkimwambia mauongo uongo mwenzenuu tutakesha karibu mwamba nyie waongo sana ndio maana huwezi kupambana na JEMEDARI JPM aliyetunwa na MUNGU kuwaokoa Watanzania ukabaki salama
Hii nchi ina matatizo sana..., kwanini tupangiane maisha ?, hata kama mtu anataka kwenda kumpokea Lucifier wewe inakuhusu nini ? Au hata akitaka kwenda kushangaa ndege ina shida gani kwako ?, Hizi taasisi zipo pale kutulinda sio kutupangia maisha..., na wewe kama wewe hutaki kitu usipangie wanaokitaka.., no matter hata kama ni minority...
Ukute mleta mada yupo zake Tandahimba anakula mihogo kwenye kibanda... anamwaga upupu jukwaaniNiko nazunguka zunguka hapa JNIA, Kwenye shughuli zangu lakini pia niko naangalia mikusanyiko ya watu kama wapo sioni dalili ya mkusanyiko.
Maana yake mambo ya wahamasishaji wa mitandaoni kutokutii mamlaka za nchi zimepuuzwa wananchi wako kwenye msiba mzito na maombolezo ya Kitaifa.
Wananchi wameielewa Serikali na wanaitii serikali yao ningeiomba serikali isimsumbue Tundu Lissu ili CHADEMA wamuweke kuwa mgombea wao ili tuone kama atapata hata diwani mmoja.
Na nina uhakika akikosa diwani hata mmoja ili baada ya uchaguzi akiwa na aibu ya kushindwa kesi zake zianzie hapo hapo.
Ahsanteni sana watanzania kwa kuendeleza jadi yetu.
Umeandika vizuri kuhusu ccm kushindana na Lissu kwenye fair ground kwani ndipo ccm inaweza kujihakikishia kama ni kweli inakubalika au la. Vinginevyo watakuwa wanajijengea uoga tu ambao pengine haukuwa na ulazima.Niko nazunguka zunguka hapa JNIA, Kwenye shughuli zangu lakini pia niko naangalia mikusanyiko ya watu kama wapo sioni dalili ya mkusanyiko.
Maana yake mambo ya wahamasishaji wa mitandaoni kutokutii mamlaka za nchi zimepuuzwa wananchi wako kwenye msiba mzito na maombolezo ya Kitaifa.
Wananchi wameielewa Serikali na wanaitii serikali yao ningeiomba serikali isimsumbue Tundu Lissu ili CHADEMA wamuweke kuwa mgombea wao ili tuone kama atapata hata diwani mmoja.
Na nina uhakika akikosa diwani hata mmoja ili baada ya uchaguzi akiwa na aibu ya kushindwa kesi zake zianzie hapo hapo.
Ahsanteni sana watanzania kwa kuendeleza jadi yetu.
uko Songea hata nauli ya basi kuja dar huna, una subiri lifti ya malori ya mizigo utayajulia wapi ya darYaani CCM wajinga sana. Subirini sa saba ndo mje muongee hapa. Tatizo liko wapi?
Ndugu Tupo njiani kuja uwanjani. Nilishafika tangu Jana toka Songeauko Songea hata nauli ya basi kuja dar huna, una subiri lifti ya malori ya mizigo utayajulia wapi ya dar
Sasa kama mimi siendi na wengine ndio wasiende ?, Tatizo tunaongelea mambo tofauti wewe unaleta ushabiki mimi naongelea haki ya kila mtu kufanya anachopenda kufanyaSasa mbona huendi kumpokea?? Nyie watu ni waninga sana, mna kazi ya kuandikaandika tu ila vitendo sifuri
Mkuu Lunch utaisamehe? maana anaingia muda wa msosiNdio tumemaliza kunywa chai, tunavaa hapa bullet proof tusogee pande hizo mkuu. CDM nguvu moja
Kweli mkuu unahitaji Elimu..., unajua kitu kinaitwa Trespassing ?, Mimi kwenda kuishi Ikulu huoni nitakuwa ninaingilia uhuru wa mwingine..., sio Ikulu tu hata nyumbani kwako siwezi kuja tu bila kukaribishwa (takuwa nimeingilia Haki yako) Sasa uwanja wa Ndege sio mali ya mtu ni Public place ambayo na mimi ni stakeholder kwa Kodi ninazolipa....Jipangie sasa ukaishi ikulu. Maana yake unataka kumaanisha una Uhuru wa kufanya chochote unachotaka.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ndio tumemaliza kunywa chai, tunavaa hapa bullet proof tusogee pande hizo mkuu. CDM nguvu moja
Kweli mkuu unahitaji Elimu..., unajua kitu kinaitwa Trespassing ?, Mimi kwenda kuishi Ikulu huoni nitakuwa ninaingilia uhuru wa mwingine..., sio Ikulu tu hata nyumbani kwako siwezi kuja tu bila kukaribishwa (takuwa nimeingilia Haki yako) Sasa uwanja wa Ndege sio mali ya mtu ni Public place ambayo na mimi ni stakeholder kwa Kodi ninazolipa....
Tusikurupuke, bado ni saa tano , anatua baada ya masaa mawiliWazungu wataushangaa uongo wa Tundu Lisu kuwaaminisha kwamba anapendwa kumbe watanzania wameshajua mkombozi wao aliyetumwa na MUNGU ni MAGUFULI
Huna lolote kaa na msiba wakoNiko nazunguka zunguka hapa JNIA, Kwenye shughuli zangu lakini pia niko naangalia mikusanyiko ya watu kama wapo sioni dalili ya mkusanyiko.
Maana yake mambo ya wahamasishaji wa mitandaoni kutokutii mamlaka za nchi zimepuuzwa wananchi wako kwenye msiba mzito na maombolezo ya Kitaifa.
Wananchi wameielewa Serikali na wanaitii serikali yao ningeiomba serikali isimsumbue Tundu Lissu ili CHADEMA wamuweke kuwa mgombea wao ili tuone kama atapata hata diwani mmoja.
Na nina uhakika akikosa diwani hata mmoja ili baada ya uchaguzi akiwa na aibu ya kushindwa kesi zake zianzie hapo hapo.
Ahsanteni sana watanzania kwa kuendeleza jadi yetu.
Kama Mamlaka inakuminya unakwenda wapi ?, Hata utumwa na ubaguzi wa rangi kuna kipindi ilikuwa kwa mujibu wa Mamlaka..., ebu niambie kwenda kumpokea Kiongozi wa watu fulani au kuhamasisha watu wampokee kunapunguza nini katika taifa ?, Ila vice versa ndio tatizo kuwakataza baadhi ya watu au kuwaminya kunapelekea kuona kwamba wanaonewa hence kupunguza uzalendoMkuu ndio maana kuna mamlaka ya kutoa muongozo, tiini mamlaka.. Tatizo lako unataka ujipangie chochote ufanye.
Wala sihitaji hiyo elimu.
Kwani aikwambia anapendwa na kupokelewa silazima waende wote lakni ujue tu kwenye uchaguzi huru na haki na akipitishwa kugombea Urais jiwe hapiti hata kwa uganga WA chato.Wazungu wataushangaa uongo wa Tundu Lisu kuwaaminisha kwamba anapendwa kumbe watanzania wameshajua mkombozi wao aliyetumwa na MUNGU ni MAGUFULI
Huwo msiba ni wenu kwanini ya up ande WA pili yanakuumizeni hivyo?Watu wako kazini huku wakiomboleza msiba wa Rais Mstaafu Ben Mkapa