NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Aisee hawa warriors inabidi wajipange aisee wakifika finals yatakua ni yale yale na sidhani kama itachukua seven games
 
cb042681a131f83d2ae3a9ec30879b83.jpg

Curry[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] umekua kama OZIL wa aseno anapafomu mechi ndogo tu mechi kubwa humuoni.....
 
Usijali...kryptonite wa KD ni LBJ.

GSW sasa presha inahamia kwao, kuwaza nini cha kufanya kupambana na LBJ.

Nimeona ile Q4 ilivyoanza LBJ akiwa benchi gape likafika mpaka 14, alivyoingia hali ikabadilika mpaka wamewin.
 
GSW sasa presha inahamia kwao, kuwaza nini cha kufanya kupambana na LBJ.

Nimeona ile Q4 ilivyoanza LBJ akiwa benchi gape likafika mpaka 14, alivyoingia hali ikabadilika mpaka wamewin.

LeBron akiwa na wale lieutenants wake [Kyrie na Kev] ni moto wa kuotea mbali.
 
Umeiona ile mean-mug ya Kyrie baada ya kutungua kile kikapu mbele ya Klay?
Mr. 4th quarter mwenyewe, uncle Drew!!
Ile mean-mug ya hatari...donkey from Shrek alisema anatamani kuwa-annihilate Cavs!!
 
Curry is weak to irving very weak to Cavaliers system they know how to lock him
Achana na mtoto mdogo curry anae wasubiri lakers ndio ajipigie, umemuona Klay alivyosumbua mwanzo ila baadae aliwekewa ukuta na Irving.

Yaani pamoja na marefa kuwapa faulo nyepesi ila bado ushindi kwao ulikuwa ni bahati.
 
GSW walipania hii game balaa...kuona hivyo Cavs ikabidi wakaze haswa...all in all, it was a fantastic game of regular season basketball!! I feel envy for the fans who were at the Q Arena!
 
Mr. 4th quarter mwenyewe, uncle Drew!!
Ile mean-mug ya hatari...donkey from Shrek alisema anatamani kuwa-annihilate Cavs!!
Jamaa ndo closer wao aisee.

Namwamini yeye zaidi kuliko hata Bron kwenye last second shots.
 
Back
Top Bottom