Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Now, le me say; Merry Christmas everyone![emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na vipi Irvin na jefferson?KD noma sana hata tukifungwa atakuwa kawalaza watu na viatu
Umeiona ile mean-mug ya Kyrie baada ya kutungua kile kikapu mbele ya Klay?
What a game! As if we were watching a playoffs game. What a come back by CAVS after being down by 14 points in 4th quarter!
Cavs wamenipa zawadi ya X-Mass.
Ila kama tunakutana na hawa jamaa kwenye finals, KD ni tatizo linalotakiwa kutafutiwa ufumbuzi.
Usijali...kryptonite wa KD ni LBJ.
Overrated.![]()
Curry[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] umekua kama OZIL wa aseno anapafomu mechi ndogo tu mechi kubwa humuoni.....
Now, le me say; Merry Christmas everyone![emoji3]
GSW sasa presha inahamia kwao, kuwaza nini cha kufanya kupambana na LBJ.
Nimeona ile Q4 ilivyoanza LBJ akiwa benchi gape likafika mpaka 14, alivyoingia hali ikabadilika mpaka wamewin.
Kam-posterise KD na Klay Thompson, at 36 years old!!Daaah... Jefferson kasaidia sana baada lebron kupunzika.
Mr. 4th quarter mwenyewe, uncle Drew!!Umeiona ile mean-mug ya Kyrie baada ya kutungua kile kikapu mbele ya Klay?
Achana na mtoto mdogo curry anae wasubiri lakers ndio ajipigie, umemuona Klay alivyosumbua mwanzo ila baadae aliwekewa ukuta na Irving.Curry is weak to irving very weak to Cavaliers system they know how to lock him
Umeiona ile mean-mug ya Kyrie baada ya kutungua kile kikapu mbele ya Klay?
LeBron akiwa na wale lieutenants wake [Kyrie na Kev] ni moto wa kuotea mbali.
Jamaa ndo closer wao aisee.Mr. 4th quarter mwenyewe, uncle Drew!!
Ile mean-mug ya hatari...donkey from Shrek alisema anatamani kuwa-annihilate Cavs!!
![]()
He's like "you blew a 14 point lead, again"