NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

"NBA admitted there should have been a T on Lebron's hanging on the rim and a foul on Jefferson tripping KD. Lebron and Kyire didn't really win the game. The refs decided for them to win by not giving the Warriors any chance to score at least 3 points to win. To bad that GSW plays vs Cavs 8 (+3 refs on their side)!!!"

Huyo si mimi, ni shabiki tu wa NBA!

Mkuu ungehitimisha kwa kusema shabiki wa warriors na sio shabiki wa NBA ingemake sense.
 
Golden state sijui inachukiwa sana au ndio timu kubwa kwa sasa NBA maana jana cavs walilala kwa pistons tena kwa point nyingi kama 16 hivi, ingawa LeBron alikaa bench lakini hili lilipaswa kuzungumziwa ila sijaona hata mmoja akilizungumzia hilo why always GSW ndio isemwe ikipoteza tu.
Bro hata sijui unaongea nini!! hivi CAVAS kufungwa na timu kama detroit piston inaweza kuwa ni justification ya kwamba eti cavs ni timu ya kawaida na hata ushindi dhidi ya warriors ulikuwa ni wa kubebwa!!? Au unamaanisha nini hasa?

Alafu timu kubwa kufungwa na timu ndogo na hasa kama ukupata muda mzuri wa kupumzika mbona ni kawaida!!..kwan wewe hujaonaga barcelona akifungwa na las palmas!?

Alafu hao hao piston ndio vibonde wa league kwa hiyo wakikutana na mkubwa lazima wakaze, kabla hawajashinda hiyo game yao na CAVS huko nyuma walikuwa wamegongwa mechi kama tano mfululizo walipigwa tena kwa magap makubwa makubwa ya point 13+ nyie wenyewe uliwashinda kwa taabu sana(116-112).
Sasa hebu angalia huyo hiyo piston juzi kapigwa na bucks kwa gap la karibu point 16 alafu hao hao bucks walipigwa na CAVs 115-93 mara ya mwisho walivyokutana.

Acheni excuse nyie tulieni hebu ulipe kisasi tareh 16 kama mna uwezo.
 
e40e28c5735b89c5c5dc4596a6ed1004.jpg
happy birthday the legend [HASHTAG]#kingjamez[/HASHTAG]
 
Bro hata sijui unaongea nini!! hivi CAVAS kufungwa na timu kama detroit piston inaweza kuwa ni justification ya kwamba eti cavs ni timu ya kawaida na hata ushindi dhidi ya warriors ulikuwa ni wa kubebwa!!? Au unamaanisha nini hasa?

Alafu timu kubwa kufungwa na timu ndogo na hasa kama ukupata muda mzuri wa kupumzika mbona ni kawaida!!..kwan wewe hujaonaga barcelona akifungwa na las palmas!?

Alafu hao hao piston ndio vibonde wa league kwa hiyo wakikutana na mkubwa lazima wakaze, kabla hawajashinda hiyo game yao na CAVS huko nyuma walikuwa wamegongwa mechi kama tano mfululizo walipigwa tena kwa magap makubwa makubwa ya point 13+ nyie wenyewe uliwashinda kwa taabu sana(116-112).
Sasa hebu angalia huyo hiyo piston juzi kapigwa na bucks kwa gap la karibu point 16 alafu hao hao bucks walipigwa na CAVs 115-93 mara ya mwisho walivyokutana.

Acheni excuse nyie tulieni hebu ulipe kisasi tareh 16 kama mna uwezo.
Kuna vitu nilitegemea ungeviona kwenye ile gemu na kuviongelea ni gemu ndogo sawa hatukatai na kupigwa hutokea sawa ila huoni kila l james akikaa benchi mnakula kipigo hiyo ni bad sign kwa cavs
 
Kutokuwepo kwa JR, subiri JR akirudi na nguvu mpya hata Lebron akikaa nje no shida.
 
Memphis wanatoka kwenye gap la zaidi ya 20 points mpaka 2 points!

5 minutes to go vs GSW.
 
Game tied at 111 - 111, game goes to OT!

Wazee, gap lilifika hadi 24 q3!
 
Game imeisha kwa Memphis kushinda kwa vikapu 128 vs 119 vya GSWs.

Cha kushangaza ni kwamba Quarter 4 imeanza GSW wakiwa mbele kwa vikapu 19, nakumbuka juzi juzi kwa Cavs walikuwa mbele kwa vikapu 14 Quarter ya mwisho na wakapoteza mchezo.

Hii siyo GSW ilee ambayo ilikuwa wewe ukiitangulia vikapu hata 20 bado unakuwa huna uhakika wa ushindi.

Ndugu Mag3 una lolote la kutuambia?
 
Kuna kitu hakipo sawa GSW, nafikiri utaratibu wa kushinda game in 3 quarters na kupumzisha starters mwishoni linawaathiri kwenye games ambazo wanatakiwa kucheza 4 qrts.
Naona utaratibu mzuri ni kuwa na game off kwa rotation ili kupumzisha starters na kutoa nafasi kwa benchi.
Kerr ajipange vizuri
 
Game imeisha kwa Memphis kushinda kwa vikapu 128 vs 119 vya GSWs.

Cha kushangaza ni kwamba Quarter 4 imeanza GSW wakiwa mbele kwa vikapu 19, nakumbuka juzi juzi kwa Cavs walikuwa mbele kwa vikapu 14 Quarter ya mwisho na wakapoteza mchezo.

Hii siyo GSW ilee ambayo ilikuwa wewe ukiitangulia vikapu hata 20 bado unakuwa huna uhakika wa ushindi.

Ndugu Mag3 una lolote la kutuambia?

Dah!

Grizzlies walishinda?

Mimi niliacha kuiangalia hiyo game baada ya GS kuwa mbele kwa double digits.

Kusema ukweli defense ya GS sucks.
 
Yaani jamaa hadi wanatia huruma, nadhani itabidi wafanye trade ku-balance team yao.
 
Back
Top Bottom