Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Game ya mwisho wamecheza kama team naona wanaanza amka..... Lebron hawezi zengea asee anahitaji ring
Ngoja tuone bame ya leo watakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game ya mwisho wamecheza kama team naona wanaanza amka..... Lebron hawezi zengea asee anahitaji ring
Okay mkuu ngoja tusubiriNgoja tuone bame ya leo watakuwaje
Ngoja tuone bame ya leo watakuwaje
imenipa taabu saana
Kulingana na Charles Barkley, timu zitakazochuana katika fainali ni Cleveland Cavaliers na Houston Rockets! Kadai Toronto Raptors hawana pumzi na kesho wanalala kwa Cavs! Haipi nafasi hata kidogo Golden State Warriors! Je kama kawaida yake safari hii pia kachemsha?
Wow! Yangu macho...!What a game! Tie game with 18 seconds to go
Serious ?GSW wanapelekewa moto kama sio wao....