NBA 2017/2018 Season Special Thread

NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Pole Mkuu, vipi mambo lakini? Wale Sixers wamecheza hovyo sana katika mechi yao na Celtics. Kama wataendelea kucheza hivyo basi wataziaga playoffs in 4 games.

imenipa taabu saana
 
Huyu utabiri wake siku zote hauko accurate. Raptors pamoja na kuwa wana home court advantage lakini huwa wanapwaya sana na CAVS sijui kama safari hii wataweza kusimama dede. Rockets wako vizuri kama hawana majeruhi ya kutisha nawaona ndani ya NBA Finals za 2018 ila Eastern Conference bado naona kizungumkuti. Ila Celtics kama yule Brown atarudi basi watatisha sana.

Kulingana na Charles Barkley, timu zitakazochuana katika fainali ni Cleveland Cavaliers na Houston Rockets! Kadai Toronto Raptors hawana pumzi na kesho wanalala kwa Cavs! Haipi nafasi hata kidogo Golden State Warriors! Je kama kawaida yake safari hii pia kachemsha?
 
GSW on the way to final sioni wa kumsimamisha na ring anabeba

Timu zote zingine zina mtu mbili au mmoja anayetegemewa sanaaaa

But when u came to GSW

There is a full margin squad

Yes curry ni game mover

But what about klay ,Kevin, Dray ,Iggy,Shaun,

The rest players of the squad wana usongo na hii ring ya mwaka huu .

Utabiri wangu finals za mwaka huu ni between GSW Vs Cavs As usual .

I think KD he needs another Ring at the bay

Ngojeni baby faced assassin arudi sentensi zitabadilika humu ndani[emoji23]
 
Nataka niweke mshahara wote hapo
Screenshot_20180501-213922.jpg
 
What a game! Tie game with 18 seconds to go
 
Quarter ya mwisho naona jamaa walichoka kidogo wanahitaji kupumzika hawa
 
Back
Top Bottom