Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
McGee ananishangaza na mie for numbers he is putting on the boardPamoja na lakers kupata vipigo mfululizo toka kila kona,McGee anafanya vizuri sijawahi kuona.
Sikuwahi kumuona akifanya hivi akiwa na GSW.
Great team defense Warriors. Nilikua nadhani huu msimu utakua mgumu sana kwao kutokana na jinsi Western Conference ilivyokuwa packed up lakini naona imekua kinyume chake sasa. Si Houston wala si takataka yeyote inayoweza isumbua GSW. Twahitaji super team ili kuweza kuwavua hawa jamaa, until then kama hawatajichanya wanachukua ring mwaka huu na mwaka ujao pia.Hawa Warriors hawa...! Kuna kitu mnakitafuta, si vizuri kuwafanyia wenzio hivyo. Kwani mngewafunga wenzenu kwa idadi ndogo tu mngepoteza nini! Timberwolves wamejitahidi hadi kuongoza katika kipindi cha mwisho halafu mnakuja kuwatandika 116-99 hivyo dakika za mwisho, why? Si vizuri hivyo.
It's too early to say this but I believe Cavs needs James really bad as much as James needs Cavs and East
View attachment 924352
View attachment 924353
Lakers watamtimsha kocha muda si mrefu, timu ya wale wahuni haiwezi.
Cavs James ilikaa 4 straight seasons bila playoffs James alipoondoka mara ya kwanza, naona zimwi limewaandama tena.
Hawa Warriors hawa...! Kuna kitu mnakitafuta, si vizuri kuwafanyia wenzio hivyo. Kwani mngewafunga wenzenu kwa idadi ndogo tu mngepoteza nini! Timberwolves wamejitahidi hadi kuongoza katika kipindi cha mwisho halafu mnakuja kuwatandika 116-99 hivyo dakika za mwisho, why? Si vizuri hivyo.
Hawa Warriors hawa, we acha tu! Fikiria timu inapata pointi 91 kabla ya mapumziko (dakika 24) huku zingine zikishindwa kufikisha idadi hiyo hadi mwisho wa mchezo! (dakika 48!) Hali hii tuiiteje? Ni kufuru? Halafu fikiria pia timu ambayo mchezaji wake moja anafunga pointi 52 peke yake katika dakika 26! Je huu tuuiteje? Ni uendawazimu?Ha ha h
Haters gonna hate.
boa boa boa boa boa 😵
Huu ni mwaka wao mwisho. KD, Draymond na Klay watataka super max contracts. Je, itawezekana kuwa na four max contracts?!?Twahitaji super team ili kuweza kuwavua hawa jamaa, until then kama hawatajichanya wanachukua ring mwaka huu na mwaka ujao pia.
GSW watatembeza bakora as usualOKC, Celtic na blazers wanashindaView attachment 926927
Em tulia kwanzaOKC, Celtic na blazers wanashindaView attachment 926927
PHX Suns vs BOS CelticsJamani tupien utabiri wa NBA
So? Unataka kusema nini ndugu yangu! Kwamba msimu wa 2019/20120, GSW hawatakuwa chochote? Endelea kuota ndoto, hao uliowataja wengi wao walishatamka kitambo kwamba watang'atuka/ kustaafu wakiwa Warriors. Kwao ni GSW or bust!Huu ni mwaka wao mwisho. KD, Draymond na Klay watataka super max contracts. Je, itawezekana kuwa na four max contracts?!?