NBA 2018/2019 is here...

NBA 2018/2019 is here...

Pamoja na lakers kupata vipigo mfululizo toka kila kona,McGee anafanya vizuri sijawahi kuona.
Sikuwahi kumuona akifanya hivi akiwa na GSW.
 
Pamoja na lakers kupata vipigo mfululizo toka kila kona,McGee anafanya vizuri sijawahi kuona.
Sikuwahi kumuona akifanya hivi akiwa na GSW.
McGee ananishangaza na mie for numbers he is putting on the board
 
Dwight Howard is back for the Washington Wizards, handicap ya +5.5 itawapendeza ingawa wanashinda hii gemu.
Indiana Pacers wanaweza wasishinde mbele ya Bulls, I know these guys. For easy money, +10.5 handicap kwa Chichago Bulls itapendeza sana ni pesa ya uhakika.
 
Dwight Howard is back for the Washington Wizards, handicap ya +5.5 itawapendeza ingawa wanashinda hii gemu.
Who is winning what game?
Fulltime: OKC 134, Wizards 111!
 
Washington a very stupid team, non-competitive and rubbish.
 
Hawa Warriors hawa...! Kuna kitu mnakitafuta, si vizuri kuwafanyia wenzio hivyo. Kwani mngewafunga wenzenu kwa idadi ndogo tu mngepoteza nini! Timberwolves wamejitahidi hadi kuongoza katika kipindi cha mwisho halafu mnakuja kuwatandika 116-99 hivyo dakika za mwisho, why? Si vizuri hivyo.
 
Great team defense Warriors. Nilikua nadhani huu msimu utakua mgumu sana kwao kutokana na jinsi Western Conference ilivyokuwa packed up lakini naona imekua kinyume chake sasa. Si Houston wala si takataka yeyote inayoweza isumbua GSW. Twahitaji super team ili kuweza kuwavua hawa jamaa, until then kama hawatajichanya wanachukua ring mwaka huu na mwaka ujao pia.
 
It's too early to say this but I believe Cavs needs James really bad as much as James needs Cavs and East

1541577021346.png

1541577065351.png
 
Lakers watamtimsha kocha muda si mrefu, timu ya wale wahuni haiwezi.

Cavs James ilikaa 4 straight seasons bila playoffs James alipoondoka mara ya kwanza, naona zimwi limewaandama tena.

Cavs goes hand in hand with loosing. I believe Loss is their chosen name, no one to protect the Land

1541655416466.png
 
Hawa Warriors hawa...! Kuna kitu mnakitafuta, si vizuri kuwafanyia wenzio hivyo. Kwani mngewafunga wenzenu kwa idadi ndogo tu mngepoteza nini! Timberwolves wamejitahidi hadi kuongoza katika kipindi cha mwisho halafu mnakuja kuwatandika 116-99 hivyo dakika za mwisho, why? Si vizuri hivyo.

Ha ha h

Haters gonna hate.

boa boa boa boa boa 😵
 
Ha ha h
Haters gonna hate.
boa boa boa boa boa 😵
Hawa Warriors hawa, we acha tu! Fikiria timu inapata pointi 91 kabla ya mapumziko (dakika 24) huku zingine zikishindwa kufikisha idadi hiyo hadi mwisho wa mchezo! (dakika 48!) Hali hii tuiiteje? Ni kufuru? Halafu fikiria pia timu ambayo mchezaji wake moja anafunga pointi 52 peke yake katika dakika 26! Je huu tuuiteje? Ni uendawazimu?

Nasubiri siku kocha atakapowaachia hawa wendawazimu wacheze dakika zote 48! Mbona rekodi zote za NBA zitavunjwa! Halafu kitu gani kitatokea? Yawezekana timu zote zikasusa kukutana na hawa wauaji. Nasikia King LeBron kaikimbia #defendtheland katafuta hifadhi (amnesty) huko California (sanctuary state). Je wachezaji wote wakihamia Golden State? Si itakuwa hatari!

cc: Nzi
 
Twahitaji super team ili kuweza kuwavua hawa jamaa, until then kama hawatajichanya wanachukua ring mwaka huu na mwaka ujao pia.
Huu ni mwaka wao mwisho. KD, Draymond na Klay watataka super max contracts. Je, itawezekana kuwa na four max contracts?!?
 
Huu ni mwaka wao mwisho. KD, Draymond na Klay watataka super max contracts. Je, itawezekana kuwa na four max contracts?!?
So? Unataka kusema nini ndugu yangu! Kwamba msimu wa 2019/20120, GSW hawatakuwa chochote? Endelea kuota ndoto, hao uliowataja wengi wao walishatamka kitambo kwamba watang'atuka/ kustaafu wakiwa Warriors. Kwao ni GSW or bust!
 
Back
Top Bottom