Icadon
JF-Expert Member
- Mar 21, 2007
- 3,581
- 193
Tsk tsk tsk tsk sasa inaashiria kuwa ubitizo umeanza juzi tuu Idacon maana enzi hizo mabitoz walikuwa mahepe sana wanajulikana kila kona au wewe utozi wako ulikuwa wa temeke kigiligilani.
Enzi hizo zipi zama za mawe au walizozaliwa wachangiaji wengi wa kwenye jukwaa la siasa? Alafu wengine local hang out joints tulikuwa tunakwenda kuscoop hunnies up alafu tunatokomea kwingine. So ukiniuliza Bongonian celebrities mimi ni mweupe(siwajui).