Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Hehehe Soulja boi hawezi kutia mguu hapo lol...Nelly siku hizi makazi yake kayaamishia ATL nini?
ulikuwa hujui? mbonA hata officer Ricky na Idris Elba wana ngome zao hapa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe Soulja boi hawezi kutia mguu hapo lol...Nelly siku hizi makazi yake kayaamishia ATL nini?
Huyu Jamaa ana miaka kama 60 hivi... halafu bado anavaa kama kajiboyi ka miaka 17.
Hawa ndo dizaini ya ma-idols wa Ndava Nyani...lol
Sasha una freestyle?
ulikuwa hujui? mbonA hata officer Ricky na Idris Elba wana ngome zao hapa....
Officer Ricky majanja wa kwao kina QM uko Florida lol kumbe ana rock fake LV... Nelly najua he bought a house(ile walioshoot Tip Drill video ndani yake) lakini sikujua kama amehamishia makazi hapa, alafu huyo mhuni mwenye shati jeusi vipi?
Sasha welcome back, ila wengine sie ni Liquor/weed/nicotine free.
YNIM unakumbuka wimbo wa No Limit wa Make 'em say uuuuuh?
wakizalisha wanazalisha watoto wa kike kila wakati kwa sababu mbegu haina nguvu.
Mwenye shati jeusi yupi? Tip?...huyo si anaenda lupango muda si mrefu....
Ebanae for some reasons I thought huyu mhuni alishakwenda lupango na ile simu ya 107.9 kuhusu Alfamega nilijua ameipiga kutoka lupango.
@Sasha, No comment.
Umeitoa wapi hii wewe Sasha?
Officer Ricky majanja wa kwao kina QM uko Florida lol kumbe ana rock fake LV... Nelly najua he bought a house(ile walioshoot Tip Drill video ndani yake) lakini sikujua kama amehamishia makazi hapa, alafu huyo mhuni mwenye shati jeusi vipi?
Sasha welcome back, ila wengine sie ni Liquor/weed/nicotine free.
YNIM unakumbuka wimbo wa No Limit wa Make 'em say uuuuuh?[/QUOTE]
Nakumbuka hilo dude msee nani! Kulikuwa kuna beshtee mmoja yaani yeye alikuwa anatinga mpaka zile P. Miller hahahaha....unakumbuka "Whodi," Icecream man" .e.t.c! Enzi hizo kuna demu mmoja nakumbuka akitwa Khia nae alitoa dude lake moja (Lick my..) lilikuwa linatoa warrant ya kuchezea "manyaki" ya Ma-Shaniqua kwa kilabu! Lakini mwezetu mjinga mjinga, JF Ndava, NN lazima enzi hizo alikuwa anashinda darhotwire 24/7 akipiga majungu na ufitinishi kama afanyavyo hapa JF....
NN get a life, chukua break kidogo, acha kufanya JF kama msosi.....😎
Papii wanasema wanaume wasiopenda pombe ni malaya sana.na wakizalisha wanazalisha watoto wa kike kila wakati kwa sababu mbegu haina nguvu.
Thibitisha.
Things make go uuuuh.things make go mmh au siyo huo?
wewe mtoto wa madrasa umejulia wapi mipini hii?Nakumbuka hilo dude msee nani! Kulikuwa kuna beshtee mmoja yaani yeye alikuwa anatinga mpaka zile P. Miller hahahaha....unakumbuka "Whodi," Icecream man" .e.t.c! Enzi hizo kuna demu mmoja nakumbuka akitwa Khia nae alitoa dude lake moja (Lick my..) lilikuwa linatoa warrant ya kuchezea "manyaki" ya Ma-Shaniqua kwa kilabu!
NN get a life, chukua break kidogo, acha kufanya JF kama msosi.....😎
Unajua nimekuachia muda mrefu sasa na huu upumbavu wako wa kudai mimi sina life zaidi ya JF.
Sasa Mike Jones nakutaka uthibitishe unayodai hapa. Takwimu zote zipo hapa..posts per day etcetera etcetera. Halafu ukishazipata zigawanye kwa masaa 24 yaliyopo ktk siku nzima halafu tuone kama madai yako yana ukweli.
Nyambaaaf kabisa wewe. Najua kazi zako za unesi hazikuruhusu kutumia kompyuta na sasa unaanza kuwapakazia watu eti wanashinda JF!
Eti get a life. Bloodyfull... I have a great life you modasucka! You wish you had my kind of life you stupid filthy what rhymes with a witch. You need to cut that obssession you have with me. Do you hear me? Now get a different hobby other than obssessing with me....pambaaaaf
wewe mtoto wa madrasa umejulia wapi mipini hii?