Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamesha enda....Go Denver ....
Man, I am more than excited . The Lakers are done, they will not be able to win a game in Denver . The home court advantage is gone ; welcome to 5000fts above sea level .
Hehehehehehee....wewe hiyo dislike yako ya Lakers ina cloud kabisa uwezo wako wa ku analyse hii series. Lakers watashinda game 2 huko Denver...just wait and see
..Bynum ni mvivu, na Derek Fisher amezeeka can not keep up with young and fast point guards.
..Phil Jackson anatakiwa aache ujinga wa kutoita time-outs. playoffs is not the time for coaches to play mind games with their teams.
..Lakers wanatakiwa watafute wachezaji wanaojituma kama Ariza at point-guard na center au power forward. vilevile wanatakiwa watafute coach anayezingatia defence.
Bynum anavunjwa moyo kwa kutochezeshwa. Yule mtoto ana potential ya kuwa one of the dominant centers kama angeruhusiwa aonyeshe gemu yake. Lakini Phil anamkata maini kwa kumweka bench.
Fisher anaaminika na kobe pengine kuliko wote kwenye ile timu. I guess ni kwa sababu wanatoka mbali pamoja. Hata hivyo ni kweli ameshachoka.
Kwa mtazamo wangu, mtu anayewaumiza Lakers ni Lamar Odom. Jamaa gemu lake ni laini sana, na wala hajitumi. Wamuuze na kumfukuzia player kama Ron Artest
Yo Yo.....Don't hate them ballers, hate the game instead ! Go Melo
Mbona mnaongea kama vile Lakers wako 0-3 kwenye series?
Hehehehehehee....wewe hiyo dislike yako ya Lakers ina cloud kabisa uwezo wako wa ku analyse hii series. Lakers watashinda game 2 huko Denver...just wait and see
..Bynum ni mvivu, na Derek Fisher amezeeka can not keep up with young and fast point guards.
..Phil Jackson anatakiwa aache ujinga wa kutoita time-outs. playoffs is not the time for coaches to play mind games with their teams.
..Lakers wanatakiwa watafute wachezaji wanaojituma kama Ariza at point-guard na center au power forward. vilevile wanatakiwa watafute coach anayezingatia defence.
Kama ingekuwa ni hivyo, ningeandika maneno kibao ya "ku-trash" the Lakers mpaka basi. Hapana. Najaribu kukutotoa tu staili ya uchezaji wa Lakers kwa jinsi nilivyouona kwenye hizi playoffs.
Hata hivyo bado natabiri hii series inaishia gemu 6....Najua unajua utabiri wangu wa nani ataibuka kidedea.

Mazee mi natabiri in 5 for the Lakers au?
I know ni ushabiki ila nimepata ufunuo....In five? Nuuu uuuuh bruh...wewe sasa ushabiki wako unakufanya usifikiri vizuri....
Mazee mi natabiri in 5 for the Lakers au?
Wewe umebahatisha tu hizi game mbili sasa ishakuwa nongwa...
YE said:Duh,
Yaani sijui hata pa kuanzia, kwa hiyo wewe unaijua NBA zaidi ya Phil Jackson, haya atakusikiliza Ariza awe point guard....