NBA Playoffs

NBA Playoffs

Status
Not open for further replies.
Yo Yo.....Don't hate them ballers, hate the game instead ! Go Melo
 
Man, I am more than excited . The Lakers are done, they will not be able to win a game in Denver . The home court advantage is gone ; welcome to 5000fts above sea level .
 
Hehehehehehee....wewe hiyo dislike yako ya Lakers ina cloud kabisa uwezo wako wa ku analyse hii series. Lakers watashinda game 2 huko Denver...just wait and see
 
Utabiri #2 umetimia...

The Nuggets gave away game 1. The Lakers lost game 2.

Nashawishika kweli kusema kuwa gemu 1 ndio ilikuwa ya mwisho kwa Lakers kushinda season hii. Lakini hapana, sitasema hivyo....nikisema hivyo nitakuwa nawavunja moyo mashabiki wa Lakers (hususani Sasha na YE). Sio tabia yangu kuvunja moyo watu. Ila ninachoweza kusema ni kuwa Lakers wana gemu nyingine MOJA tu ya kushinda. Gemu 5...ndani ya Staple Center. Kwa hiyo hii series inaishia gemu 6.

Well, kosa kubwa walilolifanya the Lakers so far ni kuruhusu the Nuggets ku-dictate the tempo of both games. Tena ndani ya Staple Center. Sasa basi, ili Lakers washinde hii series inabidi wakate mawasiliano kutoka kwa Billups (sio Melo) kwenda kwa the rest of the players. Tatizo kubwa ya hiyo kazi ni kuwa hawana match up ya Billups. Huyu jamaa ndio mwiba wao...

Cavs vs. Magic - leo the Cavs watakuwa mbogo aliyejeruhiwa. Wanashinda leo.
 
..Bynum ni mvivu, na Derek Fisher amezeeka can not keep up with young and fast point guards.

..Phil Jackson anatakiwa aache ujinga wa kutoita time-outs. playoffs is not the time for coaches to play mind games with their teams.

..Lakers wanatakiwa watafute wachezaji wanaojituma kama Ariza at point-guard na center au power forward. vilevile wanatakiwa watafute coach anayezingatia defence.
 
Bynum anavunjwa moyo kwa kutochezeshwa. Yule mtoto ana potential ya kuwa one of the dominant centers kama angeruhusiwa aonyeshe gemu yake. Lakini Phil anamkata maini kwa kumweka bench.

Fisher anaaminika na kobe pengine kuliko wote kwenye ile timu. I guess ni kwa sababu wanatoka mbali pamoja. Hata hivyo ni kweli ameshachoka.

Kwa mtazamo wangu, mtu anayewaumiza Lakers ni Lamar Odom. Jamaa gemu lake ni laini sana, na wala hajitumi. Wamuuze na kumfukuzia player kama Ron Artest
 
Mbona mnaongea kama vile Lakers wako 0-3 kwenye series?
 
Yo Yo.....Don't hate them ballers, hate the game instead ! Go Melo

Chauncey is the game-changer for the Nuggets. They were not a threat before. Contain him you tame the Nuggets.
I see both series (Lakers-Nuggets) and (Cavs-Magic) go to the wire.
 
Mbona mnaongea kama vile Lakers wako 0-3 kwenye series?

Kama ingekuwa ni hivyo, ningeandika maneno kibao ya "ku-trash" the Lakers mpaka basi. Hapana. Najaribu kukutotoa tu staili ya uchezaji wa Lakers kwa jinsi nilivyouona kwenye hizi playoffs.

Hata hivyo bado natabiri hii series inaishia gemu 6....Najua unajua utabiri wangu wa nani ataibuka kidedea.
 
Hehehehehehee....wewe hiyo dislike yako ya Lakers ina cloud kabisa uwezo wako wa ku analyse hii series. Lakers watashinda game 2 huko Denver...just wait and see

Hapo NN umeonesha upeo wa hali ya juu....wacha wapige kelele!
 
..Bynum ni mvivu, na Derek Fisher amezeeka can not keep up with young and fast point guards.

..Phil Jackson anatakiwa aache ujinga wa kutoita time-outs. playoffs is not the time for coaches to play mind games with their teams.

..Lakers wanatakiwa watafute wachezaji wanaojituma kama Ariza at point-guard na center au power forward. vilevile wanatakiwa watafute coach anayezingatia defence.

Duh,
Yaani sijui hata pa kuanzia, kwa hiyo wewe unaijua NBA zaidi ya Phil Jackson, haya atakusikiliza Ariza awe point guard....
 
Kama ingekuwa ni hivyo, ningeandika maneno kibao ya "ku-trash" the Lakers mpaka basi. Hapana. Najaribu kukutotoa tu staili ya uchezaji wa Lakers kwa jinsi nilivyouona kwenye hizi playoffs.

Hata hivyo bado natabiri hii series inaishia gemu 6....Najua unajua utabiri wangu wa nani ataibuka kidedea.

Mazee mi natabiri in 5 for the Lakers au?
 
Wewe umebahatisha tu hizi game mbili sasa ishakuwa nongwa...
 
Mazee mi natabiri in 5 for the Lakers au?

Ha ha haa yaani kweli na jinsi ulivyoona gemu mbili zilizopita unadhani Lakers watashinda gemu 3 zijazo? Tafadhali angalia kona nyingine zaidi ya kishabiki.
 
YE said:
Duh,
Yaani sijui hata pa kuanzia, kwa hiyo wewe unaijua NBA zaidi ya Phil Jackson, haya atakusikiliza Ariza awe point guard....

..sijasema Ariza awe point guard.

..nilichosema mimi ni Lakers watafute point-guard mwenye usongo wa ku-shut down opponents point guards.

..Deron Williams, Brooks, na sasa Chauncey, wote wamemgeuza Mzee Dereck Fisher kuwa uchochoro.

..halafu yule dogo Bynum ni nyanya na mvivu. wanahitaji jitu lenye roho mbaya kama Kendrick Perkins.

NB:

..mimi ni mshabiki wa Lakers, lakini nishakata tamaa ndiyo maana unaniona nazungumzia next season.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom