Cavs have a "cakewalk" ..
The Banged Up Toronto might just be another sweep in Process...
..Lets handle our business first. .
Jamaa wameufanyia kazi ushauri wako, let's go for another win at Oracle Arena.
Itakuwa bomba sana wakiweza kushinda tena kesho, ila utakuwa mchezo mgumu sana kwa OKC maana GSW wanajua fika wakienda Oklahoma wako chini 0-2 basi inaweza kuwa ngumu sana kwako kurudi Golden States kwa game 5.
GSW inabidi wafanye adjustment kubwa kuwin game 2 kwa sababu hata zile game za regular season zilikuwa ni close games kiasi ambacho unaona kabisa timu hizi mbili zina uwiano sawa.
Na kama wakienda Q4 wakiwa wanalingana lingana uwezekano ni mkubwa kwa yeyote kushinda, so let's hope OKC wanacontrol turnovers.
Nilikuwa namuangalia kocha wa GSW Steve Kerry wakati wanaongoza kwa zaidi ya 10 alikuwa mtu wa vicheko sana na high fives, kibao kilipogeuka uso ukabadilika na kuonyesha wasiwasi. Sidhani kama walitegemea OKC washinde jana.
Kiukweli hata kwangu kufungwa kwa GSW jana sikujisikia vibaya sana lakini kwa namna tofauti na wewe...kwako adui wa adui wako ni rafiki yako. Haijalishi nani kamfunga GSW, Raimundo atafurahi tu...sawa bwana. Hata hivyo mimi nachukulia kufungwa kwa GSW kama changamoto kwa #Dubnation, kufungwa kunakomaza timu na ukizoea kufunga tu kama walivyozoea GSW, level of concentration inapungua. Pamoja na hayo hongera nyingi ziwaendee OKC, good job!BTW, wakati mwingine naombea tu GSW wapoteze kiushabiki tu, na nimefurahi walivopigwa hiyo game.
Kiukweli hata kwangu kufungwa kwa GSW jana sikujisikia vibaya sana lakini kwa namna tofauti na wewe...kwako adui wa adui wako ni rafiki yako. Haijalishi nani kamfunga GSW, Raimundo atafurahi tu...sawa bwana. Hata hivyo mimi nachukulia kufungwa kwa GSW kama changamoto kwa #Dubnation, kufungwa kunakomaza timu na ukizoea kufunga tu kama walivyozoea GSW, level of concentration inapungua. Pamoja na hayo hongera nyingi ziwaendee OKC, good job!
Kufungwa kwa GSW pia kumewarudisha jamvini wenzetu waliopotea na idadi ya wachangiaji kuongezeka and so it was a blessing in other ways too...karibuni sana! Kwa Warriors ninaowafahamu, wanapojeruhiwa kama jana na OKC, wanakuwa wakali kama simba na hili nadhani wote tumeshuhudia. Ole wake atakayekaidi na kusimama mbele yake, kazi itakuwa ni kupiga tu kwani tumechoka, hatuna kingine bali kupiga tu...waulizeni CAVs na Spurs, makovu bado wanayo!
Hapana BAK, ninavyowajua GSW kucheza ugenini si jambo kubwa sana kwao na hilo wamelithibitisha na si mara moja tu. OKC wakitaka kufanya makosa ni ku-assume kuwa hawafungiki nyumbani na ku-relax. Watajikuta wanapoteza game zote mbili mbele ya mashabiki wao. Katika michezo 41 ugenini za regular, Warriors walipoteza michezo kumi tu na kushinda 31!Itakuwa bomba sana wakiweza kushinda tena kesho, ila utakuwa mchezo mgumu sana kwa OKC maana GSW wanajua fika wakienda Oklahoma wako chini 0-2 basi inaweza kuwa ngumu sana kwako kurudi Golden States kwa game 5.
Hapana BAK, ninavyowajua GSW kucheza ugenini si jambo kubwa sana kwao na hilo wamelithibitisha na si mara moja tu. OKC wakitaka kufanya makosa ni ku-assume kuwa hawafungiki nyumbani na ku-relax. Watajikuta wanapoteza game zote mbili mbele ya mashabiki wao. Katika michezo 41 ugenini za regular, Warriors walipoteza michezo kumi tu na kushinda 31!
truly mniombee walau season hii my OKC tupate RING
Nakiri hapa tunakubaliana, OKC kwa CAVS ni kama mbwa na chatu. Mbwa, pamoja na kasi zake zote, kwa chatu hafurukuti! Ilitakiwa ajitutumue tu na kutimka, lakini wapi, nguvu humuishia kabisa...masikini mbwa, anajipeleka mwenyewe taratibu awe kitoweo...!Ila mi nakuombea uwapige GSW ili iwe rahisi kwa King kuchukua ring.
Nakiri hapa tunakubaliana, OKC kwa CAVS ni kama mbwa na chatu. Mbwa, pamoja na kasi zake zote, kwa chatu hafurukuti! Ilitakiwa ajitutumue tu na kutimka, lakini wapi, nguvu humuishia kabisa...masikini mbwa, anajipeleka mwenyewe taratibu awe kitoweo...!
Hapana BAK, ninavyowajua GSW kucheza ugenini si jambo kubwa sana kwao na hilo wamelithibitisha na si mara moja tu. OKC wakitaka kufanya makosa ni ku-assume kuwa hawafungiki nyumbani na ku-relax. Watajikuta wanapoteza game zote mbili mbele ya mashabiki wao. Katika michezo 41 ugenini za regular, Warriors walipoteza michezo kumi tu na kushinda 31!
Iendelee Kuwa hivyo.Game inaonyesha kabisa kwamba Toronto washakalishwa [emoji459][emoji459][emoji459]