Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
- Thread starter
-
- #2,301
Nilichokuja kujua ni kumbe Warriors wanachukiwa kwa wanachokifanya ila wakifanya wengine watu hawaongei.. Cavs wanaonyesha kabisa watamfagia na huyu Toronto ila akina watu wako kimyaa hakuna anayekosoa.. Warriors ile run ya 73-9 watu waliongea sana, Curry kupiga 300 three pointers wakachonga lakini jana Lebron na Kyrie wameshoot 23-26 lakini hakuna hata aliyesema NBA iko soft..Na wala hutasikia mechi zao "zinaboa"...
#thehateisreal..
Kuna watu msimu uliopita ndio walikua nambari one wakisema hivyo..Sasa wamefyata hawazungumzii lolote.
Mag, Steph, na Tyta hawako wenyewe, nko hapa Warriors' stalwart of a fan. Whatever happens, I'll always stay fan to the Warriors. So count me in.
Leo Curry anatishaaa.
Steven Adams asiporudi GSW wanaweza kushinda kirahisi.
Leo Curry anatishaaa.
Steven Adams asiporudi GSW wanaweza kushinda kirahisi.
7 Point lead si mbaya... Kitu kilichonifurahisha na defense yetu leo na tumezuia turnovers..
7 Point lead si mbaya... Kitu kilichonifurahisha na defense yetu leo na tumezuia turnovers..
Tukicheza hivi mpaka mwisho basi utakuwa ni mshindi mwepesi tu..
Sielewi kwanini kuna wakati Kerr anawaweka nje both Curry and Klay... Sasa OKC wameshaanza kurudi kwenye game kwa mambo ya kipuuzi kabisa.. Walton is betterNaona KD turnovers zinamwandama balaa.
7 Point lead si mbaya... Kitu kilichonifurahisha na defense yetu leo na tumezuia turnovers..
Tukicheza hivi mpaka mwisho basi utakuwa ni mshindi mwepesi tu..
Sielewi kwanini kuna wakati Kerr anawaweka nje both Curry and Klay... Sasa OKC wameshaanza kurudi kwenye game kwa mambo ya kipuuzi kabisa.. Walton is better
Oooh yeah and the couch being dump to keep 2 best shooters off the court while u are just on a single digit lead.. These are play offs sasa sijui anaweka wachezaji muhimu nje ili iweje..Kwa maoni yangu gap ya 7 points to 10 kwa OKC ni poa kabisa wakiamua kufanya vitu vyao wanaweza kabisa kutie the game na kuongoza for good just like in the previous game.
Sio tatizo la KD kukabwa... Tatizo lilikuwa how is your offense works..KD ameacha kukabwa na shots zinamkubali.
Mpaka sasa game unaweza sema ni bila bila, yeyote anashinda hii game.
Man that was amaizing...Ha ha ha, dah. Basket is so fun to watch, hizi moves za Andre Iguodala hapa mwishoni dah!
Key to the lead.. Defense without fouling.. OKC been on FT line 3 times only..D Transition to O..That's a Good run to end the Q.Keep grinding Dubs..
Curry alijua mashabiki watamdaka nin,kisa cha kujirusha kule nje ni nin