Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee game 4 hiyo kesho, tunalevel series.
Kama kawaida game zote za nyumbani lazima tushinde hakuna namna
teh teh teh teh tehNa wao wakishinda za kwao inakuwaje mkuu?
Na wao wakishinda za kwao inakuwaje mkuu?
wataalamu hii gemu inaweza tpa over 200 points?
Game I. Imeishaje? Na msimamo upoje yani Nani yupo mbele?CAVS wanaonekana kama washalegea hizi dakika za mwishoni hii Q4...
Bila shaka wakichapwa leo ndio itakuwa mwisho wa hadithi hii ya fainali...
Haueleweki...asante sana GSW.Game I. Imeishaje? Na msimamo upoje yani Nani yupo mbele?
Game I. Imeishaje? Na msimamo upoje yani Nani yupo mbele?
Asante Sana hivi ni game ya ngapi?CAVS 97
GSW 108
Fulltime
#strengthinnumbers..CAVS 97
GSW 108
Fulltime
Si ulimwona The King leo alikuwa anataka kupigana na kila mtu teh teh tehThanks Warriors, you have started my weekend in a good way!. We showed up in your home court.
Sasa nnachoomba hawa vijana wetu, Game ya 5 wasije flop ka OKC tukapinduliwa au kuvuuta series ambayo inaweza kumalizwa kwa just 1 W.
Ka nawaona Cavs walivyojawa na hasira. Game 5 itakuwa mechi kali sana.
Asante Sana hivi ni game ya ngapi?