NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

So far..there's a great improvement compared to the last game..There is still a lot to be done however. #webelieve
 
CAVS wanaonekana kama washalegea hizi dakika za mwishoni hii Q4...

Bila shaka wakichapwa leo ndio itakuwa mwisho wa hadithi hii ya fainali...
 
Game I. Imeishaje? Na msimamo upoje yani Nani yupo mbele?
 
Thanks Warriors, you have started my weekend in a good way!. We showed up in your home court.
Sasa nnachoomba hawa vijana wetu, Game ya 5 wasije flop ka OKC tukapinduliwa au kuvuuta series ambayo inaweza kumalizwa kwa just 1 W.
Ka nawaona Cavs walivyojawa na hasira. Game 5 itakuwa mechi kali sana.
 
Si ulimwona The King leo alikuwa anataka kupigana na kila mtu teh teh teh
 
Back
Top Bottom