NBC League Kuu ya Tanzania

NBC League Kuu ya Tanzania

Maneno kibao.....
Yanga team hamna pale.....
Sasa kama team hamna iliongozaje league? Ilifikaje semi final FA? Ilifikaje QF CAF CC? Yan ushindi wa juzi ndio unafanya mnawehuka mnakua na ujasiri wa kusema neno lolote bila ya kutafakari? Rage Rage Rage heshima kwako
 
Tupunguze hisia kukamia mechi sio sababu ya kutokufungwa. Aliyebora kuliko mwenzake ndio atashinda nawashangaa mnaomponda Lwambano kwakua anasema Yanga atabeba ubingwa. Niwaulize Yanga kashinda mechi mgapi ngumu zaidi ya hizo mnazoziona nyie tena zenye maamuzi kabisa? Yan kwakua tu Mbeya City au Prison wako kwenye hatari ya kushuka daraja ndio iwe ngumu kwa Yanga kupata point kwenye hizo mechi.

Alex Lwambano ana hoja ni kutokana na usajili iliyofanya Yanga ndio maana anaipa mafasi kubwa kuendeleza kile alichokifamya huko nyuma. Yan kwa chuki zenu ndio hamtaki kumsikia aliye kinyume na fikra zenu za kipuuzi eti ubingwa wa Yanga upo rehani. Mbumbumbu wahed wakubwa
 
Semi Final FA? Simba yupo pia......
QF CAF CC? Simba yupo QF CL ambayo yanga aliondolewa hatua za awali.
Unaongoza ligi? Kwa tofauti ya point ngapi na bado mechi ngapi?
Ukishajiuliza hilo utaacha kubrag hapa, yanga hivi yanga vile.
Kuongoza ligi haimaanishi ndio una team nzuri kuliko wote, tukijumlisha zaidi ya point 10+ ulizonufaika nazo kutokana na "makosa ya kibinadamu".
 
Kwamba Simba atashinda mechi zote sio? Haya tufanye Simba itashinda mechi zake zote, ila tambua kuwa Yanga mpaka anaenda Mbeya atakuwa tayari ana point 6 atakazopata dhidi ya Singida na Dodoma. Hivyo kule mbeya atakuwa anahitaji alama mbili tu kutangaza ubingwa.
Singida anaitaka top four, na mnaenda liti hamtoboi
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu wewe umesema Yanga hamna timu mimi nikakwambia kama hamna timu hizo hatua zote ingefikaje naona unaanza kunitajia makolokolo mengine.

Eti makosa ya kibinadamu lol. Kwa hiyo ni Yanga peke yake imenufaika na hayo makosa hakukuwa na timu nyingine? Okay kwakua umesema makosa ya kibinadamu hakuna shida.

Kama ungekua unauelewa mpira vizuri usinge dharau hilo gape la point 5 kwako ni mlima na Yanga pia lazima apambane kuhakikisha haachi alama hiyo haijalishi Yanga au Simba wamebakisha kucheza na timu gani.
 
Top four tayari imejulikana kwa game zilizobaki hata Geita Gold akishinda game zote hawezi kufikia alama alizonazo Azam aliye nafasi ya 4. Ambacho SBS anapambania ni kumaliza nafasi ya 3 tu. Kwa hiyo pamoja na ivyo haibadilishi ukweli mechi na Yanga itakua ngumu lakini nae Yanga anapambana kutetea ubingwa wake.

Kwahiyo haitakuwa mechi nyepesi kwa timu zote mbili kama ulivyorahisisha hapo
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu wewe umesema Yanga hamna timu mimi nikakwambia kama hamna timu hizo hatua zote ingefikaje naona unaanza kunitajia makolokolo mengine.

Eti makosa ya kibinadamu lol. Kwa hiyo ni Yanga peke yake imenufaika na hayo makosa hakukuwa na timu nyingine? Okay kwakua umesema makosa ya kibinadamu hakuna shida.

Kama ungekua unauelewa mpira vizuri usinge dharau hilo gape la point 5 kwako ni mlima na Yanga pia lazima apambane kuhakikisha haachi alama hiyo haijalishi Yanga au Simba wamebakisha kucheza na timu gani.
Makosa ya kibinadamu yakiwa yanawanufaisha nyie pekee tuelewaje?
 
Kwamba Simba atashinda mechi zote sio? Haya tufanye Simba itashinda mechi zake zote, ila tambua kuwa Yanga mpaka anaenda Mbeya atakuwa tayari ana point 6 atakazopata dhidi ya Singida na Dodoma. Hivyo kule mbeya atakuwa anahitaji alama mbili tu kutangaza ubingwa.
Hapo Singida, Moto utawaka, Singida na Azam wamepishana point 1 tu, na wote wanaitaka nafasi ya 3 ili wapate uhakika wa kushiriki shirikisho mwakani. Singida anahitaji kumfunga Yanga kupata nafasi hiyo.

Hawa makolo ndio maana rage aliwaita Mbumbumbu... Yaani hata hesabu za vidole hawawez... Wamemfunga Bingwa wao wa miaka yote basi wanaamini Yanga atafungwa mechi zilizobaki zote alafu wao washinde zote ukiwa mpumbavu ni mpumbavu tu...
Ni heri jana makolo mngekubali mfungwe na Yanga maana Yanga ingezidi kujiamini na kujisahau ambapo mngekutana nayo ½ Fainali ya Azam mngeifunga Yanga vzuri tu... Ila sasa kwasabab mmemkumbusha Prof Nabi na vijana wake kwamba wana overconfidence sana basi Mtakandwa ½ Fainali na mtakosa makombe yote tena na tena... Yaani next time Nabi atawashona marinda yote mliyopoteza
Unaweweseka
 
Tupunguze hisia kukamia mechi sio sababu ya kutokufungwa. Aliyebora kuliko mwenzake ndio atashinda nawashangaa mnaomponda Lwambano kwakua anasema Yanga atabeba ubingwa. Niwaulize Yanga kashinda mechi mgapi ngumu zaidi ya hizo mnazoziona nyie tena zenye maamuzi kabisa? Yan kwakua tu Mbeya City au Prison wako kwenye hatari ya kushuka daraja ndio iwe ngumu kwa Yanga kupata point kwenye hizo mechi.

Alex Lwambano ana hoja ni kutokana na usajili iliyofanya Yanga ndio maana anaipa mafasi kubwa kuendeleza kile alichokifamya huko nyuma. Yan kwa chuki zenu ndio hamtaki kumsikia aliye kinyume na fikra zenu za kipuuzi eti ubingwa wa Yanga upo rehani. Mbumbumbu wahed wakubwa
Points nyingi yanga imekusanya kutokana na maamuzi mabaya marefa.

Kifupi mpaka ilipofika imebebwa sana
 
Kama hiyo ndio sababu Yanga kuongoza ligi mpaka sasa basi bila shaka Yanga atabeba ubingwa kwa sababu hiyohiyo ya maamuzi mabaya ya marefa.
 
Una uhakika wewe kama nani? Wewe ni Mungu? Au ni mchezaji unayecheza uwanjani? Au upo sehemu ya benchi la ufundi? Unasemaje una uhakika wakati mpira uchezi wewe? Yanga kacheza michezo 26 kapoteza game mbili tu je kipi kinachokufanya uwe na uhakika?
Na pia katika hizo game 26 akumbuke katika game 25 Yanga ndio timu pekee iliyokuwa na wastani wa kufunga bao katika kila mchezo

Kasoro tu ile ya juzi
 
Hawa makolo ndio maana rage aliwaita Mbumbumbu... Yaani hata hesabu za vidole hawawez... Wamemfunga Bingwa wao wa miaka yote basi wanaamini Yanga atafungwa mechi zilizobaki zote alafu wao washinde zote ukiwa mpumbavu ni mpumbavu tu...
Ni heri jana makolo mngekubali mfungwe na Yanga maana Yanga ingezidi kujiamini na kujisahau ambapo mngekutana nayo ½ Fainali ya Azam mngeifunga Yanga vzuri tu... Ila sasa kwasabab mmemkumbusha Prof Nabi na vijana wake kwamba wana overconfidence sana basi Mtakandwa ½ Fainali na mtakosa makombe yote tena na tena... Yaani next time Nabi atawashona marinda yote mliyopoteza
At least kwenye hiyo nusu mumpange Mayele msirudie kosa tena kumpanga Mzinze kwenye mechi kama hizi
 
Hapo Singida, Moto utawaka, Singida na Azam wamepishana point 1 tu, na wote wanaitaka nafasi ya 3 ili wapate uhakika wa kushiriki shirikisho mwakani. Singida anahitaji kumfunga Yanga kupata nafasi hiyo.
Shirikisho lazima itashiriki timu namba tatu na nne kwenye msimamo wa ligi kuu. Narudia ni lazima iwe hivyo na sababu ni hizi hapa.

Kombe la Azam federation cup timu zilizoshiriki nusu fainali ni Azam, Yanga, Simba na Singida.
Kwa vyovyote Simba na Yanga zitakuwa kwenye michuano ya klabu bingwa.

Case 1 : Yanga kabeba kombe la Azam federation cup

Watakaoshiriki kombe la CAF confederation cup atakuwa ni Azam na Singida hata kama Singida watashika nafasi ya nne kwenye ligi.

Case 2: Simba wamechukua kombe la Azam federation

Azam na Singida bado watashiriki kombe la CAF confederation cup hata Singida akishika nafasi nne kwenye ligi.

Case 3: Azam kabeba kombe la Azam federation cup

Singida atashiriki kombe la CAF confederation cup hata akiwa nafasi ya nne kwenye ligi.

Case 4: hata Singida akibeba kombe la Azam federation bado Azam fc wao watashiriki tu CAF confederation cup
 
Na pia katika hizo game 26 akumbuke katika game 25 Yanga ndio timu pekee iliyokuwa na wastani wa kufunga bao katika kila mchezo

Kasoro tu ile ya juzi
Ni sahihi na ndio mpira wa miguu ulivyo, ni mchezo usiotabirika. Sasa huyo unaayesema ana uhakika yeye mwenzetu ni nani.
 
Kwamba Simba atashinda mechi zote sio? Haya tufanye Simba itashinda mechi zake zote, ila tambua kuwa Yanga mpaka anaenda Mbeya atakuwa tayari ana point 6 atakazopata dhidi ya Singida na Dodoma. Hivyo kule mbeya atakuwa anahitaji alama mbili tu kutangaza ubingwa.
Point zngekuw zinachukuliwa kirahisi hvyo hakuna ulazima wa kuwa na mashindano
 
Back
Top Bottom