Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Sasa kama team hamna iliongozaje league? Ilifikaje semi final FA? Ilifikaje QF CAF CC? Yan ushindi wa juzi ndio unafanya mnawehuka mnakua na ujasiri wa kusema neno lolote bila ya kutafakari? Rage Rage Rage heshima kwakoManeno kibao.....
Yanga team hamna pale.....