NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

Yaani makolo wamenunua hii mechi live kabisa, ebu ona dodoma mji wanavyo cheza utadhani wananafunzi wa darassa la sita c????! Sijui takukuru wako wapiii??
 
Unajua kuna mechi ya muhimu zaidi mbele yetu, so lazima upangaji wa kikosi lazima uzingatie hilo
Hata hivyo enonga ni majeruhi

Mechi ya mwisho alishindwa kuendelea na mpira baada ya kuchezewa faulo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…