Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hawa jamaa baada ya kutoka chenjingi rooms Dom wamekuja kivingine kabisa,Bwalya anapishwa tu😂Hii mechi imejaa ujanja mwingi na rushwa nimezima TV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa baada ya kutoka chenjingi rooms Dom wamekuja kivingine kabisa,Bwalya anapishwa tu😂Hii mechi imejaa ujanja mwingi na rushwa nimezima TV
Karibu utafuzu uchawiHawa jamaa baada ya kutoka chenjingi rooms Dom wamekuja kivingine kabisa,Bwalya anapishwa tu😂
Usiishie kuzima tu ipasue pasue vipande 800Hii mechi imejaa ujanja mwingi na rushwa nimezima TV
Mtu timamu hawezi tazama huu ujinga kabisa.Hawa jamaa baada ya kutoka chenjingi rooms Dom wamekuja kivingine kabisa,Bwalya anapishwa tu😂
Uchawi diliKaribu utafuzu uchawi
Wengine tuko mbali na tv sasa usipotupa updates tunakosa uhondo, natanguliza shukrani lakini.Muda mchache ujao, mabingwa wa nchi Simba Sc watashuka dimbani kuwakaribisha Dodoma Jiji katika dimba la Benjamin Mkapa.
Ungana nasi hapa kwa updates..
View attachment 2142291
Karibu utafuzu uchawiHawa jamaa baada ya kutoka chenjingi rooms Dom wamekuja kivingine kabisa,Bwalya anapishwa tu😂
Goli la pili mmh,ngumu kumezaMtu timamu hawezi tazama huu ujinga kabisa.
Huku umeme umekata mkuuM
Wengine tuko mbali na tv sasa usipotupa updates tunakosa uhondo, natanguliza shukrani lakini.
2-2 dk81Huku umeme umekata
Ulikuwa uzembe wa mabeki wa dodoma mpaka kipa akatoka kumfuata yule mfungaji butu.Goli la pili mmh,ngumu kumeza
Hata hivyo enonga ni majeruhiUnajua kuna mechi ya muhimu zaidi mbele yetu, so lazima upangaji wa kikosi lazima uzingatie hilo