NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium Simba 2 - 0 Dodoma Jiji

Gooooal dodoma wanaongeza goli la nne kutoka waziri junior dakika 90..
Dodoma 4
Simba 2.

Mpira umekwisha
 
Sijui kwanini mashabiki wengi wa Utopolo wanapenda kukengeuka, uzi unafatiliwa na wengi lakini nyie mnajitoa ufahamu kupotosha
Hii ni social media and not your room media,hvo muache ale Uhuru wake ili mradi hajavunja sheria za nchi,halafu nakushauri utafute kazi ili uwe busy siyo kila mara unabishana mambo ya mpira tu
 
Refa kawanyima penati tatu za wazi kabisa dodoma jiji

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Simba wana struggle sana, hawapo aggressive. Like wamechoka sanaaa.

Wajipange sana.
 
Mwizi anafukuzwa kimy kimya na anapita rough road lazima atajikwaa tu huko mbele
 
Simba wana struggle sn,hawapo aggressive. Like wamechoka sanaaa.

Wajipange sn
Lazima wachoke, wamecheza mechi 7 (za kimataifa zaidi ya timu zingine) na kusafiri safari ndefu nyingi (dar-niamey-casablanca-moroko mikoani.. halafu urudi dar ucheze mechi kila baada ya siku 2 si mchezo).
 
Hivi hawa wazungu nani amewaambia Chama anaitwa Lusaka Mwamba?😂

View attachment 2142463
Screenshot_20220307-212053_AiScore.jpg

hawa wengine bado wanajua hii ni vodacom premier league
 
Hii ni social media and not your room media,hvo muache ale Uhuru wake ili mradi hajavunja sheria za nchi,halafu nakushauri utafute kazi ili uwe busy siyo kila mara unabishana mambo ya mpira tu
Tabularasa wewe
 
Back
Top Bottom