NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

Na mnavyojua kulia lia mtatafuta huruma
 
Yanga kamfunga Mtibwa - Simba katoka sare na Mtibwa, tatizo???
Timu zipo kuuuuubwa uwekezaji lukuki ushindi mdogo wa ajabu ajabu au sare na timu hiyo ndogo kipesa .
Simba na Yanga ligi yoooote hii wanacheza wao hata kama hawachezi - waharibifu wa kubwa wa mpira Tanzania.
Hovyo kabisa, afadhali ya Simba kidogo wanapambana kimataifa.
Viinginevyo ndio virusi wa mpira Tz.
 
Unateseka Sana kolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…