Ila mkuu sijui kama wataweza kuvumilia hadi mwisho.Mtibwa wamepania sana leo, imagine Ame leo amepewa u-kepteni wa mechi tu
Pumzi yao inaweza ikakataIla mkuu sijui kama wataweza kuvumilia hadi mwisho.
Farid ndo alicheza rough, ndemla kaonewaNdemla anapewa yellow card baada ya kumchezea madhambi Farid