Mwalimu wa Zamu Tz
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 1,053
- 2,757
Hao wamambele kuna vigezo vya uwanja mfano wakaguzi wa viwanja wanakagua camera zilizopo kila kona ya angle ya uwanja jumlisha drone unakuta uwanja mmoja unacamera kama 20 sasa uku mzee unalalamikia Azam na viwanja vyetu ivi kama Espanyil de Manungu Complex utachomekaje camera palePamoja na kwamba limekataliwa ila Azam wanafeli sana kwenye camera zao azioneshi tukio kwa ufasaha kwa asilimia mia tofauti na wafanyavyo supposed sports. Wanafanya replay inayoonesha tu kuwa mpira na mkono ulikuwa na uelekeo mmoja ila hawatamatishi kwa kuonesha mkono ukigusana na mpira.