Penati inatokana na makosa ya mpinzani ndani ya eneo lake la hatari, which means simba hupeleka mashambulizi makali kwa wapinzani hadi wanasababisha penati

Sio kwamba penati zote waga ni halali kwa asilimia mia moja kwani kuna timu zikisha zidiwa ujanja hutafuta penati ki-magumashi. Simba inawezekana wanachukua muelekeo huo.. 🤯🤯

Refarii anatakiwa aamue kama ni penati au la. Lakini hata wachezaji mabeki wa timu zinazocheza na Simba wanatakiwa wahakikishe wanakwepa mitego hiyo. Kutafuta penati kwa ujanja inaruhusiwa tu