Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Basi hata picha ungeacha tu tungeiona YouTubeKitu gani ambacho huelewi hapo. Kama ni video ingia YouTube View attachment 1989303
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi hata picha ungeacha tu tungeiona YouTubeKitu gani ambacho huelewi hapo. Kama ni video ingia YouTube View attachment 1989303
Hahah huwa munashinda dk za mapema sana vipi tena.Goli la kagere ulioni,penati ni sehemu ya mchezo sio hisani
Penati inatokana na makosa ya mpinzani ndani ya eneo lake la hatari, which means simba hupeleka mashambulizi makali kwa wapinzani hadi wanasababisha penatiSimba, vilevile, wasitegemee sana kushinda mechi zao kupitia penalti, hii pia itawagharimu sana.
Sio kwamba penati zote waga ni halali kwa asilimia mia moja kwani kuna timu zikisha zidiwa ujanja hutafuta penati ki-magumashi. Simba inawezekana wanachukua muelekeo huo.. 🤯🤯Penati inatokana na makosa ya mpinzani ndani ya eneo lake la hatari, which means simba hupeleka mashambulizi makali kwa wapinzani hadi wanasababisha penati
Refarii anatakiwa aamue kama ni penati au la. Lakini hata wachezaji mabeki wa timu zinazocheza na Simba wanatakiwa wahakikishe wanakwepa mitego hiyo. Kutafuta penati kwa ujanja inaruhusiwa tuSio kwamba penati zote waga ni halali kwa asilimia mia moja kwani kuna timu zikisha zidiwa ujanja hutafuta penati ki-magumashi. Simba inawezekana wanachukua muelekeo huo.. 🤯🤯