Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwa hiyo twiga kuchorwa kwa rangi nyekundu ni matumizi mabaya ya nyaraka za kiserikali?Matumizi mabaya ya Nyara za serikali hayawezi kuhalalishwa kisa tunahitaji pesa! Sikuwa nina muda wa kujadiri hili kabla hawakuwa wadhamini wa Ligi.
Ila kwa sasa kitendo cha kuwa wadhamini wa ligi naona itaenda kuathiri reputation ya Klabu Kubwa Kama Yanga kwa kutufanya washirika katika Matumizi Mabaya Ya Nyara za Serikali.
Tumekataa kuwa sehemu ya mpango huo.
Tumekubaliana kuwa Twiga wetu atakuwa na rasi inayofanana na wale walioko serengeti. Hii ni sawa na kuunga mkono jitihada za serikali katika Utalii.
Unaweza kuniambia ni serikali gani iliyochora tembo mwekundu kwenye noti ya 10,000?
Unaweza kuniambia tembo wekundu wapo katika hifadhi gani kokote kule duniani?
Unaweza kunipa sababu kwanini yanga isionekane ni club inayo chafua utu wa mtu kwa kuweka rangi ya njano katika ngozi ya watu waliochorwa kwenye logo ya club?