NBC Wamemtoa Wapi Twiga Mwenye Rangi Nyekundu

NBC Wamemtoa Wapi Twiga Mwenye Rangi Nyekundu

Wamemtoa wapi! Mbona katika Mbuga zetu hakuna "Red Giraffe"..?
mbuga gani, jangwani kua mbuga?

red-giraffe.jpg
 
Sawa. Maana serikalini kuna Mama na Majaliwa, na bungeni kuna Ndugai na Tulia Ackson. Wote hao ni wananchi 😀
Kwahyo mpk leo hujui kwamba Mama ni Mwananchi, halafu bungeni maamuzi yanapita kwa kupigiwa kura na sio maamuzi ya mtu mmoja na lile bunge kwa ninavyolijua robo tatu ni Wananchi kabisa
 
Kwahyo mpk leo hujui kwamba Mama ni Mwananchi, halafu bungeni maamuzi yanapita kwa kupigiwa kura na sio maamuzi ya mtu mmoja na lile bunge kwa ninavyolijua robo tatu ni Wananchi kabisa
Na twiga pia ni wananchi, na manyani pia
 
Hakuna watu wa njano hapo, Ila mavazi yao ndiyo ya njano na kijani. Hebu tazama vizuri
Kwani NBC wameanza baada ya kudhamini ligi?

Ulikua wapi kuuliza kabla ya wao kudhamini ligi?

Young_Africans_SC_%28logo%29.png

Naona watu wa njano hapo kwenye logo ya utopolo, unaweza kuniambia hao watu ni specie gani na wanatoka galaxy gani?
 
Yaani iyo 2.5b ukiigawanya kwa timu 16 wanapata milioni 156 na laki2.5 . Hivi hizo milioni 156 kwa mwaka ndo uje kutusumbua kulazimisha kumuweka twiga mwekundu kwenye jezi ya mwananchi you can't be serious[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Yote kwa yote pesa haikataliwi ila kuna pesa za kuwekeana masharti hata kampuni TeamViewer anaekaa kifuani kwenye jezi za Man United logo yao ni ya blue ila kwa utamaduni wa United huwezi weka rangi ya blue kwenye jezi zao nyekundu ikawabidi waweke logo nyeupe kwenye jezi

. Utamaduni wa klabu uheshimiwe ukitaka kuuvuna basi weka pesa inayoeleweka kidogo watu wanaweza kukufukiria[emoji3][emoji3][emoji3]Kama wewe ni kolo umeumbwa kubisha bisha
Nilitaka nipite kimya kimya kwenye huu Uzi lkn Kwa upotoshaji wa hii comment hakuna namna inabidi Tu nikujibu.. Manchester United wamewahi kuwa na jersey ya blue kabisa..kwani ni lazima kuongopa mkuu?

[emoji116][emoji116]
IMG_20211006_184537.jpg

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Dont take life that much serious changaule. We're just having a good time right here. Nothing is serious though.
No thank you. You are real serious. And not only you.
Mnatuaibisha sana wenzenu. Nembo ya Vodacom tulianza hivi hivi. Tubadilishe na rangi ya damu zetu kuwa ya njano au kijani basi.
Bora tujitoe basi katika ligi kama tunajitoa akili kwa mambo madogo kama haya. Nembo ya mtu anaedhamini ligi unamwekea masharti.
 
Wewe tuachie timu yetu, halafu kufuatilia mambo yasiyo kuhusu sio mchongo

Nitarudi kwa ajili yako
 
Kwa hiyo twiga kuchorwa kwa rangi nyekundu ni matumizi mabaya ya nyaraka za kiserikali?

Unaweza kuniambia ni serikali gani iliyochora tembo mwekundu kwenye noti ya 10,000?
2019112508090879.jpg

Unaweza kuniambia tembo wekundu wapo katika hifadhi gani kokote kule duniani?

Unaweza kunipa sababu kwanini yanga isionekane ni club inayo chafua utu wa mtu kwa kuweka rangi ya njano katika ngozi ya watu waliochorwa kwenye logo ya club?
Usiumize kichwa. Hakuna mwenye ufahamu wa kukuelewa hata mmoja huko utopolo.
 
Wewe tuachie timu yetu, halafu kufuatilia mambo yasiyo kuhusu sio mchongo

Nitarudi kwa ajili yako
Fikra zako zimeishia hapo? Hainihusu kwa vipi. We una hati milki ya hii timu? Tukiambiana ukweli unatuona hatuhusiki. Mambo mengine ya kishamba.
 
Yaani iyo 2.5b ukiigawanya kwa timu 16 wanapata milioni 156 na laki2.5 . Hivi hizo milioni 156 kwa mwaka ndo uje kutusumbua kulazimisha kumuweka twiga mwekundu kwenye jezi ya mwananchi you can't be serious[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Yote kwa yote pesa haikataliwi ila kuna pesa za kuwekeana masharti hata kampuni TeamViewer anaekaa kifuani kwenye jezi za Man United logo yao ni ya blue ila kwa utamaduni wa United huwezi weka rangi ya blue kwenye jezi zao nyekundu ikawabidi waweke logo nyeupe kwenye jezi

. Utamaduni wa klabu uheshimiwe ukitaka kuuvuna basi weka pesa inayoeleweka kidogo watu wanaweza kukufukiria[emoji3][emoji3][emoji3]Kama wewe ni kolo umeumbwa kubisha bisha
Duh! Leo tuna kiburi mpaka hatua hii. Kweli ukitaka kujua tambia ya mtu msubiri akipata pesa [emoji119][emoji119]
 
Hakuna watu wa njano hapo, Ila mavazi yao ndiyo ya njano na kijani. Hebu tazama vizuri
Shati la mikono mifupi hujaliona hapo, hiyo mikono ambayo haiko covered na nguo unaitambua rangi yake?

Sura je, ina rangi gani?
 
Back
Top Bottom