Kwa hiyo twiga kuchorwa kwa rangi nyekundu ni matumizi mabaya ya nyaraka za kiserikali?Matumizi mabaya ya Nyara za serikali hayawezi kuhalalishwa kisa tunahitaji pesa! Sikuwa nina muda wa kujadiri hili kabla hawakuwa wadhamini wa Ligi.
Ila kwa sasa kitendo cha kuwa wadhamini wa ligi naona itaenda kuathiri reputation ya Klabu Kubwa Kama Yanga kwa kutufanya washirika katika Matumizi Mabaya Ya Nyara za Serikali.
Tumekataa kuwa sehemu ya mpango huo.
Tumekubaliana kuwa Twiga wetu atakuwa na rasi inayofanana na wale walioko serengeti. Hii ni sawa na kuunga mkono jitihada za serikali katika Utalii.
We ni mpumbavu kama hata kampuni iliyobuni nembo yake unaisahihisha na huhusiki na lolote ,matumizi mabaya yapi za nyara za serikali kisa rangi?wale Bibi na bwana kwenye nembo ya taifa ni rangi yao?tembo mwenyekundu kwenye sh 10,000 na faru wa blue kwenye sh 5000 ni rangi zao halisi?Matumizi mabaya ya Nyara za serikali hayawezi kuhalalishwa kisa tunahitaji pesa! Sikuwa nina muda wa kujadiri hili kabla hawakuwa wadhamini wa Ligi.
Ila kwa sasa kitendo cha kuwa wadhamini wa ligi naona itaenda kuathiri reputation ya Klabu Kubwa Kama Yanga kwa kutufanya washirika katika Matumizi Mabaya Ya Nyara za Serikali.
Tumekataa kuwa sehemu ya mpango huo.
Tumekubaliana kuwa Twiga wetu atakuwa na rasi inayofanana na wale walioko serengeti. Hii ni sawa na kuunga mkono jitihada za serikali katika Utalii.
Twiga mwekundu hahahahaSiyo vibaya kuna vyura wa kijani na njano mnaweza kubandika nembo zao
Ongeza na faru wa blue kwenye elfu 5Kwa hiyo twiga kuchorwa kwa rangi nyekundu ni matumizi mabaya ya nyaraka za kiserikali?
Unaweza kuniambia ni serikali gani iliyochora tembo mwekundu kwenye noti ya 10,000?
Unaweza kuniambia tembo wekundu wapo katika hifadhi gani kokote kule duniani?
Unaweza kunipa sababu kwanini yanga isionekane ni club inayo chafua utu wa mtu kwa kuweka rangi ya njano katika ngozi ya watu waliochorwa kwenye logo ya club?
Unaidharau kumbuka mlikuwa na Zahera mkizunguka na kibubu mpate bukubuku ili mpate mafuta ya kuwapeleka morogoroYaani iyo 2.5b ukiigawanya kwa timu 16 wanapata milioni 156 na laki2.5 . Hivi hizo milioni 156 kwa mwaka ndo uje kutusumbua kulazimisha kumuweka twiga mwekundu kwenye jezi ya mwananchi you can't be serious[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Yote kwa yote pesa haikataliwi ila kuna pesa za kuwekeana masharti hata kampuni TeamViewer anaekaa kifuani kwenye jezi za Man United logo yao ni ya blue ila kwa utamaduni wa United huwezi weka rangi ya blue kwenye jezi zao nyekundu ikawabidi waweke logo nyeupe kwenye jezi
. Utamaduni wa klabu uheshimiwe ukitaka kuuvuna basi weka pesa inayoeleweka kidogo watu wanaweza kukufukiria[emoji3][emoji3][emoji3]Kama wewe ni kolo umeumbwa kubisha bisha
Suala sio twiga. Suala ni nembo. Kwani nani amekwambia huyo wa NBC ni twiga?Suala sio wa muda gani? Suala ni je kuna twiga mwekundu
Hahaha! mkuu ebu kuwa serious hata kidogoSuala sio twiga. Suala ni nembo. Kwani nani amekwambia huyo wa NBC ni twiga?
Wameona yanga tumekaa kimya wakaamua kutuchokoza na huyo twiga wao mwekundu, abadilishwe rangi haraka sanaUnaidharau kumbuka mlikuwa na Zahera mkizunguka na kibubu mpate bukubuku ili mpate mafuta ya kuwapeleka morogoro
Tangu lini twiga anakuwa na rangi nyekundu, Sisi kama Wanajangwani Tutamrudishia Rangi Yake ya Khaki.
View attachment 1965727
Twiga wetu sisi ni huyu hapa Chini.
View attachment 1965730
Akibadilishwa hatukubali tutaenda mahakamani kanuni za udhamini zifuatwe,haiwezekani mdhamini abadili logo kwa ajili ya timu moja Kati ya timu 16 inayoitwa utopoloWameona yanga tumekaa kimya wakaamua kutuchokoza na huyo twiga wao mwekundu, abadilishwe rangi haraka sana
Serikali+bunge+mahakama+yanga=Tanzania,kwahiyo hao NBC watafuata wanachotaka yanga,halaf pia kasome na katiba ya fifa kuhusu culture za clubs usiishie kwnye katiba ya tffAkibadilishwa hatukubali tutaenda mahakamani kanuni za udhamini zifuatwe,haiwezekani mdhamini abadili logo kwa ajili ya timu moja Kati ya timu 16 inayoitwa utopolo
Suala sio wa muda gani? Suala ni je kuna twiga mwekundu
Tusubiri itakwaje tusikaze misuli bureSerikali+bunge+mahakama+yanga=Tanzania,kwahiyo hao NBC watafuata wanachotaka yanga,halaf pia kasome na katiba ya fifa kuhusu culture za clubs usiishie kwnye katiba ya tff
Kumbukeni kibatala ni mwananchi na huko mahakamani tutawafanya vibaya sana