NBC Wamemtoa Wapi Twiga Mwenye Rangi Nyekundu

Embu kua mtu mzima basi mzee

Kwa hiyo mgeni anavokuja kuangalia yanga anategemea wanafunzi wakiume na wakike wenye rangi ya njano na sketi za kijani wanacheza??
Au nyie yanga mna mwenge?
 
Embu kua mtu mzima basi mzee

Kwa hiyo mgeni anavokuja kuangalia yanga anategemea wanafunzi wakiume na wakike wenye rangi ya njano na sketi za kijani wanacheza??
Au nyie yanga mna mwenge?
Dar es Salaam Young Africans ni tu ya watu, ni timu ya wananchi na hilo lazima lithibitishwe katika proper logo ya timu, ukiangalia utawaona hao wananchi wenyewe, just simple as that

Kwa ushauri tu kunywa maji mengi sana ya baridi ili ulegeze hiyo misuli ya kichwa
 
Sasa mkuuu mbona wewe utopolo unakua kama kunguru mjane?

Kwahyo timu ikiwekewa logo ya simba maana ake ni simba wanacheza ??? Haya na mabondia wapo pale utopoloni?

Sio kila logo lazima iendane na kampuni mkuu lazima uelewe
 
Sasa mkuuu mbona wewe utopolo unakua kama kunguru mjane?

Kwahyo timu ikiwekewa logo ya simba maana ake ni simba wanacheza ??? Haya na mabondia wapo pale utopoloni?

Sio kila logo lazima iendane na kampuni mkuu lazima uelewe
Ebu nitolee UMBUMBUMBU wako hapa, inaonekana hujui hata Maana ya Logo

Dar es Salaam Young Africans Sports Club maana yake ni klabu ya michezo ndani yake ikiwemo football, boxing, Marathon, and other sports Na Ndio maana haiitwi Yanga f.c,hapo inabidi uelewe kwanza na ndio maana kwenye logo ya Yanga inaonesha ile michezo yote

Hivyo hivyo kwa simba sports club, huwezi kumuweka tembo kwenye logo na ni lazima awepo simba tena anakuwa mwekundu

Logo defines the company activity and what is dealing with, that's why we insist the reality of company logo

Nakuomba usiendelee Kuonesha UMBUMBUMBU wako hapa
 
WHO inabidi wautambue UTO kama ni ugonjwa hatari, tena unaoshambulia mfumo wa fahamu na ubongo
 
Una uhakika kwamba wale ni watu?
yeah, tena wapo walio vaa sketi kuonesha ni wakike, na wapo mabondia pia

Unataka kuniambia ni kitu gani unaweza uka refer tofsuti na watu?

Halafu kwa mbinu hiyo hiyo utayoweza ku refer wale watu kwenye logo yenu kwanini usiitumie ku-refer twiga wa NBC na kitu kingine yofauti na twiga halisi?
 
Mkuu wale ni majini, asikuambie mtu kwamba wale ni watu
 
Hyo logo ni yao toka kitambo, acha uchochezi wakisenge bac
 
Embu jiongeze basi nbc ni benki mbna hamna safe pale au hela?

Ukiiangalia logo ya nbc kwa mtu asiyeitambua anaweza kuhisi kampuni ya utalii

Unaruka ruka sana hapa ila logo si lazima iendane na kampuni mkubwa na ndo imeisha hiyo kama unaifahamu kampuni ya sauli logo ni pikipiki sasa wewe na akili zako utalazimisha sauli ni umoja wa bodaboda

Lijitu linajiita insigne afu anaharibu majina ya watu wa maana


Jiite hata sarpong basi

Nakuuliza tena ule mwenge wenye moto wa kijani na nyie tunauliza moto wa kijani mmetolea wapi?
 
Mbona nembo ya Yanga ina watu wenye uso, miguu na mikono yenye rangi ya NJANO, wewe umewahi kuwaona wapi watu wa rangi ya njano. Kweli manara hakukosea kuwaita hamna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…