NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

Naona mlikaza ngozi ikakataa kufumuka hahahah
[emoji23][emoji23] Ukimzoesha mbwa vibaya kuna siku atakufata mpaka msikitini/kanisani. Haka katimu ka juzi tu kameanzaje kututoa jasho wakongwe[emoji28][emoji28]
Ila mwaka huu kametuhenyesha mno tumekafunga goli moja moja (Yanga, Simba, Azam)
 
Mwe mwe mweee. Haka ka mbogwe maji kalitaka kutuathili jana mpwa
Wale watakaofuata kucheza nao Kazi wanayo,wameongeza Yakuba toka Yanga,Okwa na Akpan na baadhi ya wachezaji.........bora si tumemaliza mapema na Bado game 8 tuwe champions tena........na game za mikoani zimebaki kwetu 2 zingine zote Kwa Ben
 
Ratba ya kumalizia imekaa utamu sana
 
Saaana sisi hatuna safari saizi ni kwenda Kwa Mkapa tu.......sasa acha hao wengine wakahangaike kwenye mashamba ya Mpunga mkoani huko,maana mvua zinanyesha saizi
Unatoka dubai unaenda kucheza manungu[emoji16][emoji16][emoji16]
Hawakawii kulalamika kuwa wanaonewa, wakajisahaulisha round ya 1 wanakipiga kwa mkapa Yanga wanaenda mashambani.
 
Unatoka dubai unaenda kicheza manungu[emoji16][emoji16][emoji16]
Hawakawii kulalamika kuwa wanaonewa, wakajisahaulisha round ya 1 wanakipiga kwa mkapa Yanga wanaenda mashambani.
Si tulishamaliza huko vijijini, mechi kama 7 hivi zote Kwa Ben
 
[emoji23][emoji23] Ukimzoesha mbwa vibaya kuna siku atakufata mpaka msikitini/kanisani. Haka katimu ka juzi tu kameanzaje kututoa jasho wakongwe[emoji28][emoji28]
Ila mwaka huu kametuhenyesha mno tumekafunga goli moja moja (Yanga, Simba, Azam)
Katimu ka walima mpunga...wamekomaa halafu wana pumzi..mazoezi yao wanafanya milimani hahahaa
 
Katimu ka walima mpunga...wamekomaa halafu wana pumzi..mazoezi yao wanafanya milimani hahahaa
Ila jiangalie mtani utakapokutana nako. Maana wale watoto wako uliokuwa unawafuga watataka wakuonyeshe kuwa umekosea kuwaacha
 
Kwa Mudathir tumelamba dume...kuna kipindi simba walimuongelea mwanzo nikadharau lkn baadae naona wakaachana nae,aisee wamekosa mtu
 
Mna wachezaji 13 wakigeni mpaka sasa

Sheria inataka wachezaji 12

Sijajua kama Kisinda anaweza akawa kwenye mipango ya kuondolewa ila mpaka saizi sijajua itawezekana vipi na dirisha limefungwa

Ila kuna unconfirmed rumors zinazodai kuwa Morrison ndiye anayepigwa panga
Usimuhesabu kambole...wapo 12 tu
 
Back
Top Bottom