NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

Kwani matokeo hayajapatikana? Maanake timu inajiamini hata walioko benchi wanaweza kuleta matokeo
Sa mbona mnalia lia kuwa ni kikosi cha pili,kwani hata kwa kikosi chenu mnachokiamini mara ya mwisho kumshindilia mtu goli 4 ilikuwa ni lini bloangu?
 
Hakuna aliyelia bali watu wanapongeza kuwa Yanga ina kikosi kipana. Wamekosekana key players kadhaa na point zimechukuliwa. Kuhusu kushinda magoli mengi ngoja tusubiri siku na wao wakicheza na wapinzani pungufu watashinda magoli mangapi
 
Hilo kawaida yenu, ile mechi Simba na Singida hamkuwa na maswali mengi mkaona ni mistake ya kipa ila kwa Yanga ni tofauti. Mechi ya Prison mchezaji kampa Sakho mpira akafunge lakini ilionekana ni mistake ila kwa Yanga huwa sio mistake ni maswali mengi
Bila shaka yule Mwenyekiti wao wa zamani aliwaza mbali sana pale alipowaita mbumbumbu.
 
Hakuna aliyelia bali watu wanapongeza kuwa Yanga ina kikosi kipana. Wamekosekana key players kadhaa na point zimechukuliwa. Kuhusu kushinda magoli mengi ngoja tusubiri siku na wao wakicheza na wapinzani pungufu watashinda magoli mangapi
Teh teh teheeeee
 
Hahahaaaaaaaa,Chini ya wapi bloangu?
Ihefu tu hata makalio yalikuwa yanatetema jinsi walivyowatoa jasho baada ya kupata kagoli cha ndondokela.
Sasa wewe katika misimu hii miwili ulipo cheza na mimi,makalio yenu yalitetemema mara ngapi na mwanaume akakugonga mara tatu mfululizo baada ya kumtetemeshea makalio.
 
Mbao ya hisani na mtani jembe bloangu???

Hata kwenye takwimu za wenye akili haijumishwi,

Kwenye michuano inayotambulika kama ligi kuu mlikuwa mnaambulia droo na mnashangilia balaaaa,hahaaaaaaaaaaaa,watoto wadogo sana nyie,wadanganyeni Geita watoto wa jana
 
Tafuta rekodi za miaka 6 nyuma za Simba na Yanga halafu uone nani kamgonga mwenzake mara nyingi hapo sijaongelea ya muda wate ambayo nimekugonga mara nyingi na April na kugonga tena na timu yenu kama toroli linalo tegemea tairi moja (CHAMA).

Ngao ya hisani aihesabiwi labda kwenu,nenda kwenda list ya makombe aliyo chukua Man Utd halafu ndipo utajua Community Shield zinahesabiwa, sema ndio sizitaki mbichi hizi wakati timu huna.
 
Huyu kumrudisha tumekosewa sana,tangu aje hata kipindi kile sijawahi kuona kama ni mchezaji bora
Mna wachezaji 13 wakigeni mpaka sasa

Sheria inataka wachezaji 12

Sijajua kama Kisinda anaweza akawa kwenye mipango ya kuondolewa ila mpaka saizi sijajua itawezekana vipi na dirisha limefungwa

Ila kuna unconfirmed rumors zinazodai kuwa Morrison ndiye anayepigwa panga
 
Hili nadhani kwenye mfumo wa TFF wameshaweka list ya wachezaji 12 kama mfumo unavyohitaji. Kilichobakia sasa ni mambo ya nje ya system
 
Tafuta rekodi za miaka 6 nyuma za Simba na Yanga halafu uone nani kamgonga mwenzake mara nyingi hapo sijaongelea ya muda wate ambayo nimekugonga mara nyingi na April na kugonga tena na timu yenu kama toroli linalo tegemea tairi moja (CHAMA).

Ngao ya hisani aihesabiwi labda kwenu,nenda kwenda list ya makombe aliyo chukua Man Utd halafu ndipo utajua Community Shield zinahesabiwa, sema ndio sizitaki mbichi hizi wakati timu huna.
Rekodi zenu shida mnazinunua bloangu
 
Back
Top Bottom