NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

Hebu nipishe bwana ni minus nijumlishe huo muda sina...nimeuliza nimejibiwa..ww kama unaona mzigo kujibu unapiga kimya..hang over ulininywesha?
Naona unapagawa na bado
Sio kila anaechati humu yupo anaangalia game
Haaa haaa haaa taratibu mkuu mbona kama umepanic hivi!
 
Hamna timu hapo mkuu,yaani Ihefu ndio wa kuwasumbua vile?
Yanga ndiye timu pekee inaweza ikaweka benchi key player wake watano na bdo akapata matokeo, leo wachezaji watatu plus Lomalisa aliye ingia half ya pili.

Katika ile first eleven ya Makolo, wapumzisheni wachezaji watatu tu ktk first eleven yenu halafu muone mtavyo poteana na Mtibwa walikosekana wanne na timu ikapata matokeo.
 
Naona leo ni kazi ya kuwasifia maingizo mapya hata kama wamegusa mpira kwa nadra....hahahaha
 
Jamani hamna muwakilishi wa Azm.FC aanzishe live updates hukoo...
AZAM VS PRISONS
 
Yanga ndiye timu pekee inaweza ikaweka benchi key player wake watano na bdo akapata matokeo, leo wachezaji watatu plus Lomalisa aliye ingia half ya pili.

Katika ile first eleven ya Makolo, wapumzisheni wachezaji watatu tu ktk first eleven yenu halafu muone mtavyo poteana na Mtibwa walikosekana wanne na timu ikapata matokeo.
Usiwaambie watoe wachezaji watano, Kwa Simba ao wachezaji ni wengi sana. Pale Simba apumzike Chama tu, biashara imekwisha.
 
Back
Top Bottom