Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
TK na Ambundo urojo waliokula visiwani haujawaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi mliwafunga ngapi?Uto wameishiwa mbinu. Kagoli kamoja ka kosa la kipa
Una swali?
Nawashuke Daraja tu hakuna namnaKisasi kimelipwa.
Makolo lazima wanune.Aisee ushindi wa leo ilikuwa muhimu sana
Hamna timu hapo mkuu,yaani Ihefu ndio wa kuwasumbua vile?Hadi huruma...ila Ihefu jamani sio kwa kuwakazi huku
Naomba tupe matokeo ya Simba vs Ihefu msimu huu ndani ya dimba la Mkapa matokeo yalikuwa ngapi kama sio goli moja pekee. Unaonekana mpira haujui na haufatiliagiHalafu mnabana pua shirikishooooooo,mnakwenda kuaibika huko
Kama Ihefu ndio kipimo cha shirikisho nyie mliwafunga ngapi na huko champions League mnaenda kufanya niniHalafu mnabana pua shirikishooooooo,mnakwenda kuaibika huko
Ngoja waje kutoka Dubai wapambane na Mbeya cityNaomba tupe matokeo ya Simba vs Ihefu msimu huu ndani ya dimba la Mkapa matokeo yalikuwa ngapi kama sio goli moja pekee. Unaonekana mpira haujui na haufatiliagi
Matokeo ya timu yako dhidi ya Ihefu yalikuwa hivi[emoji116]Hadi huruma...ila Ihefu jamani sio kwa kuwakazi huku
Simba ilishinda 10 dada?Hadi huruma...ila Ihefu jamani sio kwa kuwakazi huku