NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

Uto kwa nini mmewadharau Ihefu leo? Au mmefanya hivyo ili mpate sababu kwa nini wamewapiga tena na leo?
 
Wananchi wanasimama, 🤣🤣nakumpigia makofo matatu Feitotooo😂, ishara ya kumpokea Tena,
Huu ni upendo mkubwa sana yapasa kuigwa, na vilabu vngine
Kwako mpenjaa🤣🤣
 
Yanga inaonekana kama haina upepo; yaani mpaka sasa hivi bado wanapigishwa mchakamachaka na Ihefu? Inawezekana wakatoka droo au wakafungwa. Pengo la kukosekana kwa Fei Toto, Azizi Ki na Morrison linakuwa dhahiri sasa.
 
Back
Top Bottom