NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

Mnavyoisema Simba sasa ni kama nyie mna kikosi ambacho strikers wenu wakiingia tuu wanafunga mabao au kwa jinsi mnavyosifia ni kama wanafunga hata wakiwa benchi
 
Mpira umeanza kuchezwa saa ngapi kwani
Mkuu uko sawa kweli au hangover, yaani unashindwa kuangalia mpira ni dakika ya ngapi then u-minus?

Hapa sare tu umechanganyikiwa je mkifungwa nyie ihefu wa kukodi.
 
Mkuu uko sawa kweli au hangover, yaani unashindwa kuangalia mpira ni dakika ya ngapi then u-minus?

Hapa sare tu umechanganyikiwa je mkifungwa nyie ihefu wa kukodi.
Hebu nipishe bwana ni minus nijumlishe huo muda sina...nimeuliza nimejibiwa..ww kama unaona mzigo kujibu unapiga kimya..hang over ulininywesha?
Naona unapagawa na bado
Sio kila anaechati humu yupo anaangalia game
 
Huwa tukiwa na match ngumu first half. Tunarekebisha. 2nd half analia mtu. Yaani leo points 3 ni piga ua lazima zipatikane na ndo zinaenda patikana. Hawa Ihefu wasitake kutuzoea mbogo hawa.

Lazima wateme Bungo... Piga ua garagaza.... Watalia vibaya sana. Tunarekebisha. Wakirudi wamechoka ....mbogo watakuwa hawa? Ni mbwa tu.
 
Ihefu hajawahi shindwa kuua vyura wa jangwani kwenye mashamba ya mpunga.

Vyura huwa wanarukaruka sana wakiwa na mwiko nyuma🤣
 
Hebu nipishe bwana ni minus nijumlishe huo muda sina...nimeuliza nimejibiwa..ww kama unaona mzigo kujibu unapiga kimya..hang over ulininywesha?
Naona unapagawa na bado
Sio kila anaechati humu yupo anaangalia game
I love you
 
Back
Top Bottom