NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

NBC: Yanga SC 1-0 Ihefu FC: Uwanja Benjamin Mkapa

Kipa wa Ihefu ameonesha ubora mkubwa sana kuokoa mashambulizi mpaka muda huu
 
Chirwa kapewa kadi ya njano kwa kosa gani pale?

Au kuweka balansi ya mchezo isionekane Refa tu anaionea Yanga?
 
Ngoja kipindi cha pili tumuingize Morrison, Aziz Ki, Feitoto na Musonda wakamsaidie Mayele, hawa watoto watatutambua kuwa sisi ndio wananchi
 
Back
Top Bottom