NBS acheni dhuluma, walipeni Makarani hela zao

Huo mwiko mmoja mchana na andazi moja asubuhi ndio dogo kasema hivyo hivyo. Hapo amekatwa 10,000/- kwa huo msosi. Yaani kwenye kila project kubwa watu wanawaza upigaji tu.
Hakuna kukatwa we dogo! Una lako jambo
 
Hii mambo ya sensa ni dhambi ya dhuluma inayozidi kuitafuna chama tawala na makada wake na Bado MamaaaQee Zao
 
Siku mbili ilifaa awe na laki 1,
View attachment 2311402
HUYU HYU BIBIYE KUTOKA VISIWANI ALITOA NYONGEZA YA TSH 8000 YA CHIPSI CHOMBEZA AWALIPE LAKI TANO NAKUNYA[emoji90][emoji90][emoji90][emoji90] DAR MPAKA ZANZIBAR KWA MAFURUSHI MPKA BAHARINI MKIPEWA HIZO HELA KANYAGENI HAYO MAVI MVUKE NAYO BAHARINI MNIFATE PALE UNGUJA
 
Chakula cha mchana 10,000 kama harusi.

Bongo kweli nyoso
Lakini kasema wanalishwa wali wa buku so elf 9 mtu anaenda nunulia cement,semina ikiisha anahamia kabisa.
Katika nchi ukishaingiza tabia ya upigaji ni sumu isiyokwisha kwa maana KILA atakaepata nafasi ni kupiga SAsa itakuwa nchi hio.
 
Usilete shida zenu binafsi kwenye Mambo ya serious bwana yaani zoezi linasiku mbili tu Usha Anza kusema dhuluma una akili kweli? Au Sensa anahesabisha mdogo wako tu nchi nzima?
 
Ndio shida hii nchi aisee, ulaji kila mahali hata kwenye zoezi nyeti kama hili. Watu wanawaza kupiga tu, kwa expense za wengine wataabike.
Taifa likishakosa maadili sababu ya kiongozi dhaifu linakosa nidhamu tutegemee mengi zaidi.
 
Kwa kozi yangu fupi niliyoipata huko Cuba ni kuwa;

Hapo kwa Mdogo wako, Ni wewe mwenyewe
Haswa....! Vumilia... Wamekupunguzia muda wa mahangaiko.... Pia mngejadili terms kabla , na kama ungeona haifai ungewaambia wakachukua mwingine...!!!
 
Umeongea Fact Sana
Hii nchi ngumu

Chakula wanaweka mwiko mmoja na Andazi 1 na chai....huu ni unyanyasaji

Wanawa-wa- underrate makarani lakin they forget hawa ndo kitovu Cha sensa when you treat them wrong. In early stage what do you expect?
funny enough chakula hakitoshi ukiona wanavyogombania utafiriki watoto wa bweni walioona ubwanwa nyama
 
Wenzenu wa kampeni ya polio wamezulumiwa huko, nchii sasa hivi imekuwa ya ki............e Sana
 
Ni laki Tisa kiongozi sio laki tano.Serikali imejipanga.Polio ni mradi wa wakina Biden sio wa mama Fatuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…