DOKEZO NBS toeni tamko: Ulipaji wa pesa za semina za Sensa kuna uhuni unafanyika

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwani Kuna kufukuzana tena huko??
 
Kuna wadau inasemekana waliambiwa watoe lakilaki wapate nafasi,hii kuwazungusha si inawakera?
 
Billion 350+ ni pesa ndogo kuelekezwa kwenye malipo tu achilia mbali vifaa na logistics zingine? Kwa Nchi maskini kuelekeza mapesa yote hayo kwa kazi ya mwezi unaita hela ndogo? Hahahaha you cant be serious!!
Hizi pesa nyingi sana kama ukipata viongozi wanaofikiri
 
Billion 350+ ni pesa ndogo kuelekezwa kwenye malipo tu achilia mbali vifaa na logistics zingine? Kwa Nchi maskini kuelekeza mapesa yote hayo kwa kazi ya mwezi unaita hela ndogo? Hahahaha you cant be serious!!
Sensa ni baada ya miaka 10
Sasa hii nchi Kama inashindwa kuandaa hela ndogo Kama hiyo bil350 ndani ya miaka 10 kwa zoezi muhimu Kama Hilo itakuwa nchi ya Ajabu Sana .

Pia kwanini uandae watu waombe Ajira ya Muda then mwisho wa picha uawageuke hii sio sawa Kabisa ili zoezi linaenda kuwa gumu na watu wachache Watapika data hii nchi imejaa wajinga Sana wao huko juu wanajiona ndo watu sahihi wanasahau kuwa karani ndo kitovu Cha sensa .
 
Hapo data zitapikwa,na picha itaishia hapo,eti mama anataka watu wanaosukumwa kufanya kazi toka mioyoni mwao,hawajui viongozi wa Tanzania nini?
 
sio kazi ya mwezi mkuu. Umeambiwa sensa ni kila baada ya miaka 10. Sasa ni nchi gani itashindwa kupanga bajeti ya tukio linalotokea mara 1 kwa miaka 10!!?
Billion 350+ ni pesa ndogo kuelekezwa kwenye malipo tu achilia mbali vifaa na logistics zingine? Kwa Nchi maskini kuelekeza mapesa yote hayo kwa kazi ya mwezi unaita hela ndogo? Hahahaha you cant be serious!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…