Uchaguzi 2020 NCCR- Mageuzi yakutana na watia nia wa Ubunge 300 Dodoma leo

Uchaguzi 2020 NCCR- Mageuzi yakutana na watia nia wa Ubunge 300 Dodoma leo

Bila shaka wanaandaliwa kuwa replace cdm.
 
NCCR ni mchepuko wa CCM hilo liko wazi.
Ok sorry nilitaka kusema huyu hapa
IMG-20200616-WA0003.jpg
 
Hayaoni hata aibu! Lile limataga jingine lilikuwa Tanga,baada ya kubuma mapokezi yake kwao Bukoba.
Wivu utawaua! Siasa ni hesabu sio mihemuko, sifa na viburi. Wenzenu wanapeta, kwao siasa ni carrier.
 
Ok sorry nilitaka kusema huyu hapaView attachment 1490111
Nyie vilaza mnafurahisha sana, mnajua hamna uwezo wa kujenga hoja mumshawishi mtu wa upande wa pili awaelewe, matokeo yake mme save hizo picha za Mbowe kwenye simu zenu ndio mnazitumia kama ngao ya mashambulizi mnayopokea toka upande wa pili.

Grow up.
 
Picha yenyewe editing ya FB washamba sana.
 
Upinzani Kwa namna yoyote Ile hawatakiwi kutofautiana kama kweli wanataka angalau kujiskia kama kunakatambalare Fulani hivi kwenye uchaguzi mkuu ujao,

Kama wataruhusu kutofautiana ni Sawa na kujaribu safari ya mguu kutoka Ntwala Hadi Bukoba kwa Mzee Rwakatale kushindana na Magufuli,
La sivyo safari hii watashikana uchawi, Kwa nguvu ipi Chadema iliyonayo ipiku kura za NCCR mageuzi, Hadi za CCM?

wakiambiwa ni wajinga wanakuwa wakali zaidi ya nyumbu
 
Chama kilijifia. Sasa vyama vyakupigiwa mfano ni chadema na act wazalendo. Ukiona CCM wanakushangilia ujue wewe huna makali. Fokofu
 
Mgombea mmoja wa chama kikubwa Tanzania atauwawa wakati wa compaign za uchaguzi mkuu
 
Yote mema cha msingi kila chama kipewe nafasi sawa ya kujinadi.polis walinde usalama Wa vyama vyote. Waamuzi wawe wananchi kwenye sanduku LA kura.
 
Upinzani Kwa namna yoyote Ile hawatakiwi kutofautiana kama kweli wanataka angalau kujiskia kama kunakatambalare Fulani hivi kwenye uchaguzi mkuu ujao,

Kama wataruhusu kutofautiana ni Sawa na kujaribu safari ya mguu kutoka Ntwala Hadi Bukoba kwa Mzee Rwakatale kushindana na Magufuli,
La sivyo safari hii watashikana uchawi, Kwa nguvu ipi Chadema iliyonayo ipiku kura za NCCR mageuzi, Hadi za CCM?

wakiambiwa ni wajinga wanakuwa wakali zaidi ya nyumbu
Hakuna wapinzani tanzania Kuna wajasiriamali wa kisiasa,wachumia tumbo hasa uongozi wa chadema unawaza kula ruzuku na pesa za ufadhili kutoka kwa mabeberu,
 
Basi, tuseme nini juu ya hayo?
Ikiwa sisi NCCR-Mageuzi Meko yuko upande wetu,nani atakayekuwa dhidi yetu?(Mtakatifu Mbatiya 8:31-39)
 
Chama cha NCCR-Mageuzi leo tarehe 27 June kinakutana na watia nia wake wa Ubunge katika majimbo yote Tanzania. Kikao hicho kinafanyika Dodoma na kina malengo ya kuwajengea uwezo na uelewa watia nia wote wa Chama hicho.

View attachment 1490062View attachment 1490063

Upinzani ulikuwa wa 2015, wapinzani wa mwaka huu(2020) ni wasindikizaji wa chama tawala tu (apart from ACT-Wazalendo Zanzibar kwani wajukuu wa Shamte na Sultani wa 1963 - HISBU bado wapo) Rais Dr Magufuli atapata 90% ya kura zoooote, believe me or not. Upinzani wa 2015 ulivurugwa na Mhe Zitto na Prof Lip. Kwa kifupi watu wasipoteze muda wao kwa kushabikia vyama vya upinzani kwani wana ubinafsi sana(egoistic) yaani “ umimi”!
 
Back
Top Bottom