Vyama vya upinzani vimeshaanza kujivuruga, wiki iliopita vyama 12 vilianza kumshambulia Maalim Seif wa ACT-Wazalendo, na 2015 ACT-Wazalendo ilimukampenia Rais wa sasa wa Chama tawala kwani kilisisitiza ‘hakuna kumchagua Lowassa kwani ni fisadi( Lowassa sasa yupo ndani kabisa ya chama tawala) CUF kwa sasa wanasema hawawezi kamwe kushirikiana na ACT-Wazalendo wala Chadema!!what a mess!! Ndiyo maana nasisitiza ni Magufuli mpaka 2035 kwani katiba siyo msaafu!! Kama Germany inaona iliona umuhimu wa kiongozi mzuri Merkel na kumuongezea muda na Russia kuona umuhimu wa Putin mpaka 2036, kwani ni mwiko(taboo) kuongeza muda wa Dr Magufuli? Mashirika yote ya umma yaliyofisidiwa baada ya Mzee Ruksa kishayarudisha(fufua) mfano Reli, Ndege, Bandari, nidhamu kazini, wafanyakazi hewa, nishati, etc.!!!!