Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Nccr mageuzi ni ya pili kwa ubora baada ya Ccm
Kuliko ccm?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuliko ccm?
Mkuu wa kaya alishawaahidi kuwapatia wabunge 20 ili tu kuua upinzani nchini
Baada ya kukubali kuwa vibaraka. Mbona mnawaharibia hata mtoto mdogo anajua mmewafanya pandikizi.Nccr mageuzi wameonyasha ukomavu wa kisiasa wanastahili kuwa chama kikuu cha upinzani
Mimi ccm nashabikia act WazalendoKwa nini leo ccm wanaoshabikia sana Nccr kwa sababu wamekuwa affiliate party na ndio maana wamegawiwa sehemu ya ile 1.5 trillioni ili wajijenge.
Chama kikuu Cha upinzani baada ya uchaguzi