Cherenganya
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 2,309
- 1,785
Wanaweza wapambane tu!! 😄😄Chama cha NCCR-Mageuzi leo tarehe 27 June kinakutana na watia nia wake wa Ubunge katika majimbo yote Tanzania. Kikao hicho kinafanyika Dodoma na kina malengo ya kuwajengea uwezo na uelewa watia nia wote wa Chama hicho.
View attachment 1490062View attachment 1490063
Bila shaka wanaandaliwa kuwa replace cdm.
Upinzani ulikuwa wa 2015, wapinzani wa mwaka huu(2020) ni wasindikizaji wa chama tawala tu (apart from ACT-Wazalendo Zanzibar kwani wajukuu wa Shamte na Sultani wa 1963 - HISBU bado wapo) Rais Dr Magufuli atapata 90% ya kura zoooote, believe me or not. Upinzani wa 2015 ulivurugwa na Mhe Zitto na Prof Lip. Kwa kifupi watu wasipoteze muda wao kwa kushabikia vyama vya upinzani kwani wana ubinafsi sana(egoistic) yaani “ umimi”!
Acha wivu,nafasi inaenda!Kwa ufadhili toka lumumba.
Wanaume hatunaga wivuWivu tu huo, huko mtaa wa ufipa mnalala la bundi? Mko na kisirani muda wote
Wivu mnao nyie mashost, wanaume tunapiga kazi tu.Acha wivu,nafasi inaenda!
Kwenye nchi zenye mitazamo ya kijamaa, viongozi walioko madarakani huongoza kwa shuruti na kuwatia hofu wananchi wao. Hubana vyama vya upinzani, wakati huo huo wakifanya propaganda kuonyesha kuwa wanakubalika sana. Na hutengeneza propaganda kuwa watashinda uchaguzi kwakuwa wao ni imara. Lakini hawathububu kufanya uchaguzi huru na wa haki, maana wanajua wananchi wakiachwa kuamua kwa uhuru, watapata matokeo yasiyowafutahisha. Hata ww mleta hii post, umeingia kwenye huo mtego wa propaganda kwa kujua au kutokujua, au ww uko kwa lengo maalum la kutengeneza huko kukubalika kwa bandia.
Vyama vya upinzani vimeshaanza kujivuruga, wiki iliopita vyama 12 vilianza kumshambulia Maalim Seif wa ACT-Wazalendo, na 2015 ACT-Wazalendo ilimukampenia Rais wa sasa wa Chama tawala kwani kilisisitiza ‘hakuna kumchagua Lowassa kwani ni fisadi( Lowassa sasa yupo ndani kabisa ya chama tawala) CUF kwa sasa wanasema hawawezi kamwe kushirikiana na ACT-Wazalendo wala Chadema!!what a mess!! Ndiyo maana nasisitiza ni Magufuli mpaka 2035 kwani katiba siyo msaafu!! Kama Germany inaona iliona umuhimu wa kiongozi mzuri Merkel na kumuongezea muda na Russia kuona umuhimu wa Putin mpaka 2036, kwani ni mwiko(taboo) kuongeza muda wa Dr Magufuli? Mashirika yote ya umma yaliyofisidiwa baada ya Mzee Ruksa kishayarudisha(fufua) mfano Reli, Ndege, Bandari, nidhamu kazini, wafanyakazi hewa, nishati, etc.!!!!
Hata Mbatia asipokaa vizuri hapatihakuna awajuaye hawa... so hawatapata kura majimboni labda za kugawiwa bure!
Kuliko ccm?Nccr mageuzi wapo vizuri sana
Matumizi mabaya ya raslimali zetu,ghafla NCCR inaitisha vikao vya watia nia makao makuu na mavazi mapya wajumbe wote pamoja na gharama za kujikimu.Hii ni Engineering ya Pole pole,akili za kizee hizi.Yani NCCR wanawaza kwa kutumia makalio kweli kweli! Eti wanategemea kujengwa na CCM!
Mkuu hawa mabatamzinga wa lumumba wanaishi kwa kulipwa kutokana na post wanazotuma hivyo wakipigwa ban wanakufa njaa, hawajui sisi wengine tunaingia humu kama burudani tofauti na wao hii ni ajira.
Tanzania hakuna wapinzani kuna wajasiriamali wa kisiasa na wachumia tumbo tuVyama vya upinzani vimeshaanza kujivuruga, wiki iliopita vyama 12 vilianza kumshambulia Maalim Seif wa ACT-Wazalendo, na 2015 ACT-Wazalendo ilimukampenia Rais wa sasa wa Chama tawala kwani kilisisitiza ‘hakuna kumchagua Lowassa kwani ni fisadi( Lowassa sasa yupo ndani kabisa ya chama tawala) CUF kwa sasa wanasema hawawezi kamwe kushirikiana na ACT-Wazalendo wala Chadema!!what a mess!! Ndiyo maana nasisitiza ni Magufuli mpaka 2035 kwani katiba siyo msaafu!! Kama Germany inaona iliona umuhimu wa kiongozi mzuri Merkel na kumuongezea muda na Russia kuona umuhimu wa Putin mpaka 2036, kwani ni mwiko(taboo) kuongeza muda wa Dr Magufuli? Mashirika yote ya umma yaliyofisidiwa baada ya Mzee Ruksa kishayarudisha(fufua) mfano Reli, Ndege, Bandari, nidhamu kazini, wafanyakazi hewa, nishati, etc.!!!!
Ukiona mtu kila uzi wa jukwaa la siasa kuna comment yake jua yuko pale kwa kazi maalumTumewachoka walevi na watetea mashoga
Mkuu wa kaya alishawaahidi kuwapatia wabunge 20 ili tu kuua upinzani nchiniNccr mageuzi wapo vizuri sana
Vp Anna Ngwira atagombea tena?Chama kilijifia. Sasa vyama vyakupigiwa mfano ni chadema na act wazalendo. Ukiona CCM wanakushangilia ujue wewe huna makali. Fokofu