Uchaguzi 2020 NCCR- Mageuzi yakutana na watia nia wa Ubunge 300 Dodoma leo

Kwa nini leo ccm wanaoshabikia sana Nccr kwa sababu wamekuwa affiliate party na ndio maana wamegawiwa sehemu ya ile 1.5 trillioni ili wajijenge.
 
Nccr mageuzi wameonyasha ukomavu wa kisiasa wanastahili kuwa chama kikuu cha upinzani
Baada ya kukubali kuwa vibaraka. Mbona mnawaharibia hata mtoto mdogo anajua mmewafanya pandikizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…