Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Rasilimali madini hayaoziHehehehe!! Kweli ni aibu, hili bara sijui nani kaliroga, maana full umaskini na shithole kote ila wabishi kupita maelezo, unakuta mataifa yenyewe yana raslimali na madini ya kumwaga lakini kitakwimu yanatia huruma.
PointRasilimali madini hayaozi. Ni asset ya kesho ni suala la muda tu
Madini yanazidi kuchimbimbuliwa na kuuzwa Nchi za nje Kisha waafrika wananunua finished products kwa Bei ya juu zaidi. Ufisadi ndio kizungumkuti kwa kwa Nchi za kiafrika kuendelea kiuchumi.Rasilimali madini hayaozi. Ni asset ya kesho ni suala la muda tu
Rasilimali madini hayaozi
Ni asset ya kesho ni suala la muda tu
Hehehehe!! Kweli ni aibu, hili bara sijui nani kaliroga, maana full umaskini na shithole kote ila wabishi kupita maelezo, unakuta mataifa yenyewe yana raslimali na madini ya kumwaga lakini kitakwimu yanatia huruma.
Asteroid Belt very rich in rare metals huko ndio the next frontier kwa Nchi zilozo na akili timamu.Ya nini kama mwenyewe unajichokea kwa ukata ilhali yanachumwa na wengine, hivi unajua kadiri mabeberu wanachokonoa sayari za mbali iko siku watagundua madini huko nje mara milioni ya haya ya kwetu na mbinu zitafutwe za kuyashusha bila gharama kubwa, tetesi zipo kwamba yalishaonekana huko sayari za mbali, fahamu haya ya Afrika yanapata thamani kwa sababu ni adimu, lakini mabeberu wakiyapata kwingine kwa wingi yatashuka thamani na Waafrika watabadilisha na kulima mihogo.
Kuna hii sayari ambayo inasemekana imejaa dhahabu kila mahali NASA headed towards giant golden asteroid that could make everyone on Earth a billionaire
Wewe endelea kukaa hapo kijiweni ukijiliwaza kwamba madini hayaozi.
Dah! Kila nikifikiria haya mambo nahisi kama volcano inataka kulipuka kichwani kwangu.Asteroid Belt very rich in rare metals huko ndio the next frontier kwa Nchi zilozo na akili timamu. Africa hatuna astrophysicists, elimu Ni ovyo, ufisadi na uzembe Kama kawaida alafu tufikiri kuwa madini yetu yatatusaidia wakati Nchi za Ulaya tayari wamo njiani kufika sayari za Mars na Mwezi wa Jupiter Europa?
Dah! Kila nikifikiria haya mambo nahisi kama volcano inataka kulipuka kichwani kwangu.
Sijui tumekosea wapi!
Viongozi wanaojipenda wachumia tumbo zao pia mwafrika hajiamini haswa kwa innovation na invention tunategemea Wazungu saaana.Dah! Kila nikifikiria haya mambo nahisi kama volcano inataka kulipuka kichwani kwangu.
Sijui tumekosea wapi!
South korea peke yake tu ina $1tril.Na tukisema U.S ana Asilimia Over 80 ya GDP bara lake.Wababe lazima wawepo popote pale wametunishia wadogo misuli.Hata ulaya kuna kina Portugal au Luxembourg ana GDP ya $72 Billions ila kuna kina Germany wana $4 trillions.
Ukitaka uisikitikie Africa ni pale nchi moja ya Ulaya inapolingana uchumi na Africa yote au kuizidi.Au pale United States inapotuzunguka mara kumi!
Ukiangalia sana sana nchi waliojizalia wengi kama panya i.e Nigeria, Tanzania na Ethiopia, wananchi wao wanateseka sana ila Ethiopia sijaona ikiwa na madini ya maana kama Nigeria na Tanzania ambao wananchi wake wanaishi kama mandondocha.Kama Nigeria hapo, kwa takwimu wapo vizuri ila maisha kwa ground ni hovyo kabisa.
ukiangalia sana sana nchi waliojizalia wengi kama panya i.e Nigeria, Tanzania na Ethiopia, wananchi wao wanateseka sana ila Ethiopia sijaona ikiwa na madini ya maana kama Nigeria na Tanzania ambao wananchi wake wanaishi kama mandondocha.
Africa ina Gdp ya $2.4 trillion. Sawia na uchumi wa UK au France.South korea peke yake tu ina $1tril.
hiyo ni sawa na mchi zote za africa combined.
Tanzania ina ukubwa wa eneo la kilometa za mraba 947,303 na populations ya 59,734,218ukiangalia sana sana nchi waliojizalia wengi kama panya i.e Nigeria, Tanzania na Ethiopia, wananchi wao wanateseka sana ila Ethiopia sijaona ikiwa na madini ya maana kama Nigeria na Tanzania ambao wananchi wake wanaishi kama mandondocha.
Kimondo watakimaliza lakini sisi tutakuwa na reserve kwa vizazi vyetu "thats how resource sharing operates" ni ujinga kumaliza kila kitu kwa hofu ya ugunduzi mwingine outerspace.Ya nini kama mwenyewe unajichokea kwa ukata ilhali yanachumwa na wengine, hivi unajua kadiri mabeberu wanachokonoa sayari za mbali iko siku watagundua madini huko nje mara milioni ya haya ya kwetu na mbinu zitafutwe za kuyashusha bila gharama kubwa, tetesi zipo kwamba yalishaonekana huko sayari za mbali, fahamu haya ya Afrika yanapata thamani kwa sababu ni adimu, lakini mabeberu wakiyapata kwingine kwa wingi yatashuka thamani na Waafrika watabadilisha na kulima mihogo.
Kuna hii sayari ambayo inasemekana imejaa dhahabu kila mahali NASA headed towards giant golden asteroid that could make everyone on Earth a billionaire
Wewe endelea kukaa hapo kijiweni ukijiliwaza kwamba madini hayaozi.
Nadhani unaongozwa na mihemuko na ushabiki wa Tz vs Ke, huu ni ushabiki mbaya sana maana unakufanya usione mbali na akili yako inakuwa dormant. Unaposema "nchi waliojizalia kama panya" halafu ukazitaja Tanzania na Ethiopia ni kukosa hoja na ni ushabiki uliopitiliza. Kwa Nigeria naweza kukubaliana na wewe kwa kuwa ina ukubwa wa 923,768 km² (ndogo kuliko Tanzania) lakini ina idadi ya watu tariban milioni 200.ukiangalia sana sana nchi waliojizalia wengi kama panya i.e Nigeria, Tanzania na Ethiopia, wananchi wao wanateseka sana ila Ethiopia sijaona ikiwa na madini ya maana kama Nigeria na Tanzania ambao wananchi wake wanaishi kama mandondocha.