kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,757
report imetolewa na taasisi inayojulikana kwa jina la focus economics yenye ofisi zake Barcelona, Spain.
View attachment 854739
ukichunguza sana utagundua report yao inakinzana na taarifa ya IMF iliyotolewa mwezi june, 2018 ambapo tanzania haimo katika orodha ya nchi 28 masikini zaidi duniani,achilia mbali hizo 10 za focus economics. yaani hata uitafute kwa kurunzi au darubini, bado tanzania huwezi kuiona.
ifahamike tu kwamba IMF au WB ndio taasisi za kuaminika zaidi katika kutoa report inayohusu nchi zenye masikini mkubwa duniani.
kwa anayetaka kujiridhisha zaidi afungue link hii : https://nordic.businessinsider.com/poorest-countries-in-the-world-2018-5/