Nchi 10 maskini zaidi duniani: Tanzania ya 9, Uganda ya 3

Nchi 10 maskini zaidi duniani: Tanzania ya 9, Uganda ya 3

Hawa sijui watatoka vipi, tatizo uzembe, wana kila kitu na kila sababu za kutoka, lakini uzembe ndio zao, ujamaa uliwalemaza na itachukua muda sana, afu wabishi huwaambii kitu, maana hawaambiliki.
😁 😁 😁 😁 😁 nataka kujua GDP za hizo nchi kwanza zote na za Kenya
 
Zimbabwe ni nchi tajiri kuliko Tanzania, negative media ndio inawaharibia.
😁 😁 😁 Tanzania tupo zaidi ya 58 million while Kenya ni 47 million so what do you expect on per capita index 📇.? Ethiopia 🇪🇹 na nchi nyingi tu hapo zimeipita Kenya kiuchumi lakini sababu population yao ni kubwa they are regarded as poor than you lakini in reality nyie ndio poorest than them.
 
Raisi anachowaza ni chato kuifanya london unadhani uchumi utakuwa kwa kufunga wafanya biashara bila kesi kudharilisha wawekezaji kupambana na wawekezaji nyang'anya passport zao to a sera zisizoelezeka mwache aendelee kuwabemenda washauri wake makonda gambo mnyeti dotto james ngwale
 
NCHI MASKINI ZAIDI DUNIANI. TANZANIA PAHALI PAKE KWA ORODHA, NUMBER 10 MGONGONI!!

DmEtmX1XcAEB1Pd.jpg:large

KESI YA UGANDA, SIKU YAKE KANDO, TUWAPE EKO NA HESHIMA ZAO NDUGU TOKA TANZANIA
focus-economics.com???? your life is as a joke as this website.
 
Tutatoka kwenye hiyo orodha muda sio mrefu, tunamalizia mchakato wa kuprint mihela.

Ngoja kwanza, inamaana Zimbabwe haipo kwenye hiyo orodha?

Ahaaa haaa haaa
Burundi haipo wala Mali na Rwanda.

Bora umeliona hilo.
 
TOA UWONGO WAKO HAPA KIBARAKA MKUBWA
FFC57BBE-55C7-48BE-96F0-0E67CA912197.jpeg
WA WADHUNGU!
 
Wakenya ni wavivu wa kufikiri,wao wakiona habari imeandikwa tu kwa kiingereza ewaaaaa wanakurupuka tu moja kwa moja hawana hata muda wa kutafakari!!
 
Oka okay mkuu nimeelewa. Kwa ujinga wangu nilifikiri vita za muda mrefu na dysfunctional governments zina uhusiano na umasikini, ni kupitiwa tu kiongozi,tuendelee kuunga mkono juhudi.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jiongeze mkuu... SYRIA KUNA VITA LKN NI MATAJIRI KUTUZIDI SISI...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu hii kali..yaani na mbwembwe zetu zoteee, na mapwofesa woteee lakini bado rumba letu kali sanaaa..kudadeki....yara yara na domo kaya la kokoto kumbe uzushi tuuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha...Si ajabu tunashuhudia tabia za hovyo na za kimaskini za mfumo mzima wa uongozi katika nchi hizi...imagine mbunge anapigwa risasi 38 mchana kweupe kwenye makazi ya viongozi yenye ulinzi wa 24/7 na hakuna uchunguzi unafanyika...GARBAGE IN GARBAGE OUT!
Mleteni Dereva wa Mbunge asaidie uchunguzi,mnamficha wa nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom