Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,324
- 6,657
Burundi population ni ndogo.Hata Burundi wametuzidi? Data ya mwaka gani hii?
Mpaka watu wanajiuzulu uwakilishi kuunga mkono juhudi za kufeli!!! Jiwe linafaa kusugulia sagamba tu!!hahahaha tobaaaaa!!! magu anavo pambana aiseee!!!
somalia wala haipo. labda wanaona hiyo siyo nchi badoTakwimu ya uongo wa kiwango cha kami hii..isiwepo Burundi tuwepo sisi?si kweli,Somalia je?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Tazama vizuri mwaka upo hadi "projection" ya mwaka unaokuja.Swala ni kwamba NBS inatakiwa Ku confirm kama ni kweli hizo data zina uhalisia,ila kwa mawazo yangu nahisi huenda kuna uhalisiaHata Burundi wametuzidi? Data ya mwaka gani hii?
Du hali ni tete hiyo GDP!!Hao jamaa pia wanasema yafuatayo kuhusu Tanzania:
" Economic prospects for Tanzania depend on infrastructure investment, improving the business environment, increasing agricultural productivity, amongst others and growth prospects for this year remain strong. Favorable weather conditions should underpin the agricultural sector, while a ramp-up in infrastructure spending is expected to support investment. However, downside risks stem from the uncertain legal framework for mineral exports associated with President Magufuli’s shake-up of the sector and weakness in the banking system. FocusEconomics Consensus Forecast panelists expect GDP to expand 6.4% in 2018 and 6.5% in 2019 " soma hapa
south sudan ni nchi tajiri kuliko tanzania...shida tu ni vita na mali hio haijagawanywa vizuri...kumbuka wana mafutahata s.sudan wametupita... taarifa za uongo
PwahahahahaWakenya ni wavivu wa kufikiri,wao wakiona habari imeandikwa tu kwa kiingereza ewaaaaa wanakurupuka tu moja kwa moja hawana hata muda wa kutafakari!!
Pwahahaahhaa povu limemwagwa hapa aisee😁 😁 😁 Tanzania tupo zaidi ya 58 million while Kenya ni 47 million so what do you expect on per capita index 📇.? Ethiopia 🇪🇹 na nchi nyingi tu hapo zimeipita Kenya kiuchumi lakini sababu population yao ni kubwa they are regarded as poor than you lakini in reality nyie ndio poorest than them.
very true...watanzania wazembe sana...sijui ni kwanini? sijawahi kuelewa...sijui ni climate (joto jingi) au culture? yaani nchi iliobarikiwa sana na rasilimali ni aibu kubwa aibu sana inapowasilishwa katika nchi maskini kabisa duniani...Hawa sijui watatoka vipi, tatizo uzembe, wana kila kitu na kila sababu za kutoka, lakini uzembe ndio zao, ujamaa uliwalemaza na itachukua muda sana, afu wabishi huwaambii kitu, maana hawaambiliki.
very true...watanzania wazembe sana...sijui ni kwanini? sijawahi kuelewa...sijui ni climate (joto jingi) au culture? yaani nchi iliobarikiwa sana na rasilimali ni aibu kubwa aibu sana inapowasilishwa katika nchi maskini kabisa duniani...
very true...watanzania wazembe sana...sijui ni kwanini? sijawahi kuelewa...sijui ni climate (joto jingi) au culture? yaani nchi iliobarikiwa sana na rasilimali ni aibu kubwa aibu sana inapowasilishwa katika nchi maskini kabisa duniani...
😁 😁 😁 😁 hivi ni nani anaongea haya maneno? Ni mkenya? Ni kipi hasa ambacho Kenya imeipita nacho Tanzania?Experiments za Nyerere za ujamaa ndio ziliwaponza, japo alikua na nia njema lakini huo mfumo uliwalemaza. Alitaka usawa kwa kila mtu, hivyo hata ujitume vipi, ilikua lazima uwe tayari mbaki wote kwenye level moja, hiyo ilichangia kila mtu kuganda na kutegemeana na kuwa wazembe.
Tatizo mababu zao waliipokeza hadi kwa vizazi vya leo, kunao wanajaribu sana kutoka, lakini wanaburuzwa na wengi wao ambao akili zao ziko kule kule hawajatoka. Haswa mikoa tuliyopakana nao kama Kilimanjaro na Arusha, wakazi wa pale huendesha mambo Kikenya, hutakuta Mchagga akiomba omba Kenya, ni wachakarikaji.
Hebu fikiria kati ya mataifa yote yaliyotuzunguka ambayo yamekumbwa na vita na majanga ya kila aina hujaona hata raia wao mmoja akiwa pembezoni mwa barabara za Wakenya akiomba omba, lakini hawa wenye kila kitu na amani hawajakumbwa na misukosuko ya aina yoyote maishani mwao, wapo kwenye chama kimoja cha siasa tangu uhuru, lakini raia wao kutwa wamejazana wanaomba omba kwenye barabara zetu. Sijui laana gani hiyo, nchi yao ina rotuba kote kote, wana bahari, maziwa, madini ya kumwaga na kila kitu lakini maskini balaa.
Umasikini uliopo Tanzania sio umasikini uliopo KenyaPwahahaahhaa povu limemwagwa hapa aisee