Nchi 10 maskini zaidi duniani: Tanzania ya 9, Uganda ya 3

Nchi 10 maskini zaidi duniani: Tanzania ya 9, Uganda ya 3

Sijui kama hizi takwimu ni sahihi, yaani mpaka Somalia na Afghanistan wametuzidi au labda ni kwa sababu ya hizi chaguzi za marudio zimetufilisi! Hawa Uganda sio ndio waliotusaidia kujibu hata lile swali la kolapsheni?
 
Fikra za kimaskini hizi, ww kweli unazidi kunifanya niamini hii ripoti iko sawa,
Wewe kama unafikira, za kitajiri ungeshauri nini kifanyike ili nchi yetu iwe tajiri sio kuqoute watu walichochangia. Alafu inaonesha wewe unachojua nikukosoa tu utendaji ni bure kabisa.
 
NCHI MASKINI ZAIDI DUNIANI. TANZANIA PAHALI PAKE KWA ORODHA, NUMBER 10 MGONGONI!!

DmEtmX1XcAEB1Pd.jpg:large

KESI YA UGANDA, SIKU YAKE KANDO, TUWAPE EKO NA HESHIMA ZAO NDUGU TOKA TANZANIA
 
Hawa sijui watatoka vipi, tatizo uzembe, wana kila kitu na kila sababu za kutoka, lakini uzembe ndio zao, ujamaa uliwalemaza na itachukua muda sana, afu wabishi huwaambii kitu, maana hawaambiliki.
 
Wamekosea kudanganya hapo walipoiacha zimbabwe kwenye orodha
 
Duh hii umeitoa wapi?somalia watatupitaje .....mm skubali
Nko tayari kurusha ngumi aisee

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Somalia haiwezi kuwa sawa na tanzania wewe bwege huku hatuna mgao wa umeme hatunda makonda wala magufuli wakututawala we live our best life marekani na arab nations are dying to have our sea and uranium but guess what we deal with them so tafadhali sana somalia ni habari nyingine kabisa
 
Ubweg umeingiaje!

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom